Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,098
- 8,205
Kwa vyovyote huu utakuwa umbeya kama lilivyo jina lako.
Umri wako hauendani naulichokiandika.umri ukoje utoto au uzeee maana nina miaka 37 sasa umri unakuaje hapo?
Itakuwa tuHahahaha
labda anataka aoe kabisa
We si ushagonga shida iko wapi?Jamani cyo nataka kumuoa hilo halipo kinachosumbua ni ile hali ya on / off inanifanya nikose hata hamu kuwa kwenye love game, kama kuna mawazo zaidi nayakaribisha