Kwa hiyoHuu ni mjadala
W.end na mahaba mubashara sio!!!Hahaaa!wapi Dada angu wee!
Mjadala tu huu!Leo weekend
Shule nshamaliza harafu unataka nianze kusove maswali ina maana wewe unatoa marks ?Jadili
Mara ghafla ukaanza kuyawaza mapenzi!!Hahaa!nipo na madogo kitandani tunacheza hapa!ng'ari ng'ari
Whaaaaat!!!Hapana sio vibaya but I wish!!!
Ya kuonanaSorry kwa heri!
Umeamua kutuzuga eeeh!!!Eeeh!hahaaahaaaa!
Hao hana mapenzi nao. Yuko nao kwa sababu flani anazozijua yeye.Kweli eeeeh?!!!hahahaaa!sasa jitu lingine lina wanawake au wanaume zaidi ya mmoja!
Hivi inawezekana wote hao at the same time!?