Hivi haiwezekani kabisa kuwapenda wawili kwa wakati mmoja?Hao hana mapenzi nao. Yuko nao kwa sababu flani anazozijua yeye.
Japo unakuta kati ya hao yupo mmoja ndo ana mapenzi naye
Mmmh sidhani kama inawezekana lazima kuna mmoja atamzidi mwenzake.Hivi haiwezekani kabisa kuwapenda wawili kwa wakati mmoja?
Hahahaa! Kusutwa suna ujue!Utafungwa na kusutwa juuu!
Hahahaaaa!! Nahitaji tu kujua, kama wewe.Umeanzaa!!!
Mzee mwenzangu mie nipo mama.Mmmh sidhani kama inawezekana lazima kuna mmoja atamzidi mwenzake.
Miss you umeadimika sana mkongwe mwenzangu.
Eeeh mbona wanapangwa tuMzee mwenzangu mie nipo mama.
Kwahiyo kuwapenda inawezekana ila watazidiana kiasi cha upendo?



Kama vile mimi nilivyo na hisia na weweHao hana mapenzi nao. Yuko nao kwa sababu flani anazozijua yeye.
Japo unakuta kati ya hao yupo mmoja ndo ana mapenzi naye
Nishawapenda.Eeeh mbona wanapangwa tu
Kwani unataka kuwapenda wawili![]()
Hivi upoKama vile mimi nilivyo na hisia na wewe

