Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Shida ni kwamba mapenzi yakifikia peak wivu unatawala na ile hali ya kutaka kuwa unammiliki mpenzi wako na kutaka uhakika kuwa haushei na mtu. Kwa waelewa huwa atafurahia hii hali na kukuelewesha kuwa rest be assured niko real na wewe no games kwa maneno na vitendo ili wivu upungue.

Wengine ndio inakuwa fimbo ya kukuchapia, ataanza nyodo za kila aina at last ni usaliti tu. Hajali umejitoa kiasi gani kwake ye anakuona kama huna kazi labda tu inabidi umuwaze yeye tu. Mwishowe ndio unakuta hasira mtu anakunyag'anya vitu vyake kwa hasira baada ya kumnyanyasa sana kihisia. Point of no return!
Dah!mbaya sana hii!usiombe ikukute!

Binadamu sisi viumbe wa ajabu sana!
 
mapenzi ni upendo wa kimahaba baina ya mwanaume na mwanamke.
kwa mujibu wa wataalam hisia za mapenzi huratibiwa na ubongo wa mbele.
 
na yale mapenzi baina ya kaka na kaka, dada na kaka, kaka na dada, mama na mtoto au baba na mtoto?
mantiki ya swali lako ipo kwenye mapenzi ya kaka na kaka(jinsia moja),mkuu huo ni ujinga wa kima cha 0.00000... binadamu tunatakiwa tutambue kuna sheria mama za kimazingira mwanaume kwa mwanamke si vinginevyo.
hiyo ya kaka na kaka haitakiwi maana hata mazingira hayakuleta kitu ya namna hiyo.
 
Hatariiiiii!!!!!ujanja mfukoni
Ila tunajifunza katika hayo,.unajua kuna kipindi lazima upitie maumivu flan ambayo huja kukuimarisha kwa wakati ujao,...hata mapenzi pia ni vivyo hivyo japo ni tofauti kidogo kwasababu yanagusa hisia moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom