Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Duuuh,.Mapenzi ni pesa tu sikuhizi, kinyume na hapo unafiki ndio umekithiri jiandae kulizwa tu
Duuuh,.Mapenzi ni pesa tu sikuhizi, kinyume na hapo unafiki ndio umekithiri jiandae kulizwa tu
Ngoja nijaribu kukupenda nitaelewa haya mapenzi..!Na ni ujanja kwa mpendwaji
Acha kuzingua baba shunieSawaaa dr love
Mkuu fafanua kidogo hapa umeniacha patupuMapenzi ni uchafu. Ukiona uchafu popote, jua hayo ndio mapenzi
Acha ujinga wewe sasa unakataa hadharani ili iweje??Hhahaaa!hapana nshatamaniwa tayari
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwani vibaya shoga kuwa in love!!!?Nooo!hahaaa loh!huu ni mtazamo jamani
Hahaaaaa!lohh!hata wanawake tunachunwa?Mapenzi ni pesa tu sikuhizi, kinyume na hapo unafiki ndio umekithiri jiandae kulizwa tu.
Jitafutie vyanzo kadhaa vya kipato kisha utaona mapenzi yanavyokufuata kwa kasi. The shit is so stupid aisee.
U mgonjwa wewe..!Wewe umeniita hadharani ndo maana
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Acha kuzingua baba shunie
Oh,wow!!!really!!?[emoji4]Hapana sio vibaya but I wish!!!