Mi huyu beb wangu wa ushindi hawezi kukunyimaNipe maujanja basi.
Panya wangu washakula vitenge vyangu.Auntie anataka kitenge ukiona comment kama hizi.
Sijui hata.Imeshindwa funguka kwa sababu gani jamani
Hakuna...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana jamani siwezi kuumwa sababu ya kuliwa hivi naanzaje mbebez ninaye
Ndio, lasivyo nitakuwa na wivu.Asubiri uwepo ndo ataje
Itakula kwa atakaye jaribu kumgusa...Basi akae mbali na uzi huu lasivyo imekula kwako.
Doooooooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unashangaa ulikua unaijua ID ya wife kwa siri mara unamuona nae kwenye list kaliwa [emoji23]Hahaaa...
Yaani huku juzi kuna ndugu karibia walane...[emoji3][emoji3]
Jf ina vitu vya ajabu sema watu hawajui..
[emoji23][emoji23]Tukuchambe vzr
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha vizuri unamjua mkweo
Huyo mbebezi wa kimasai atakuaHakuna...
Unaweza ukakuta mbebez ana kingozi...afu akakupiga mtekenyo mmoja wa matata...
Unaumwa weeek
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ugua polee...undeleee kulwa na hii baridiEwaaaaaa ndio njia yetu hiyo acha tukulwe tu
Hapana angoje atukule sisi halafu ndio aanze uchaguzi asitufanyie hivyoAmeanza kuchagua. Sura ya baba wa mwisho nlikua mimi wengine mjipangee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hongera zao wote walioliwa uzalendo uliwashindaa
Wapi huko tenaHahaaa...
Yaani huku juzi kuna ndugu karibia walane...[emoji3][emoji3]
Jf ina vitu vya ajabu sema watu hawajui..
[emoji41][emoji41] sawa mama la mamaNdo nyuzi nazoendana nazo shem [emoji23][emoji23]
Kachoka kuwasaidia watu halafu wanamsingiziaHapana angoje atukule sisi halafu ndio aanze uchaguzi asitufanyie hivyo