sio kweli,Kama una umizwa na mapenzi moja tambua huwezi kuwa tajiri, unless uwe umerithi pesa au ushinde bingo la tatu mzuka au biko.
Watu wenye akili nyingi huwa hawaumizwi kivile na ujinga huu eti mapenzi..
Yeah ukipenda mahali huwez kwepa kuhudumia.Hahaaaaa!lohh!hata wanawake tunachunwa?
Love dear...LoveWhy do u allow someone to hurt u!?

Lakini kweli eti!Yeah ukipenda mahali huwez kwepa kuhudumia.
Unajua hisia za mapenzi ni za kipuuzi sana maana its like unakuwa locked kwa mtu flani, hutaki kuona mwenzio hana raha na lolote utafanya ili umfurahishe tu hata mambo yanayokuumiza. Thats real love,,imeghubikwa zaidi na sacrifice ndio maana ukiona mwenza wako haoni umuhimu wa kuji sacrifice tena kwako its likely mapenzi yashaisha yamebaki mazoea tu.
Thats the point unafikia unakuwa unalalama tu mbona umebadilika, mbona hivi...mbona vile maana unayempenda hajali tena. Hapo ndipo uchungu wa mapenzi ulipo! Utajuta!
you cant hurt the one you love.....it is like hurting oneself.Why hurting the one u love?
So watu huumiza wasiowapenda?you cant hurt the one you love.....it is like hurting oneself.
unless there must be unexplainable reasons to...
mfano tu ni Mapenzi ya Mungu kwetu, tunamkosea kila leo anaumia inawezekana hata analia kabisa lkn bado anatupenda.
Shida ni kwamba mapenzi yakifikia peak wivu unatawala na ile hali ya kutaka kuwa unammiliki mpenzi wako na kutaka uhakika kuwa haushei na mtu. Kwa waelewa huwa atafurahia hii hali na kukuelewesha kuwa rest be assured niko real na wewe no games kwa maneno na vitendo ili wivu upungue.Lakini kweli eti!
Nilishuhudia kaka mmoja anachoma furnitures za mpenzi wake kisa kumfumania!