Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Download mpya futa hiyo ya zamani.... Kwangu ilisumbua pia.Hivi unatumia app?
Kwangu imegoma kufunguka kabisa
Download mpya futa hiyo ya zamani.... Kwangu ilisumbua pia.Hivi unatumia app?
Kwangu imegoma kufunguka kabisa
My ex wangu tangu uniache niko singo lede mpaka leo.Ngoja ninyamaze naona nitavunja ndoa za watu
Tete.... Mdanganye mwanaoKunaniliu ni kuosha vyombo, si unajifanyaga vyombo huoshi wewe!!!
Ohoo basi sawa mimi nili igomea hii mpya nazani sina ujanja sasaDownload mpya futa hiyo ya zamani.... Kwangu ilisumbua pia.
Mnaongelea nini?Download mpya futa hiyo ya zamani.... Kwangu ilisumbua pia.
Ndo maana huwa nakupendaMy ex wangu tangu uniache niko singo lede mpaka leo.
App ya JF... Umejua pesa nini?Mnaongelea nini?
App mimi imegoma hapa natumia web sipendagiMnaongelea nini?
Kumbe unajua!!! Hivi huu udada ulonipachika unaexpire lini?Tete.... Mdanganye mwanao
Ha ha haaa acha kumchanganya my x bhanaaApp ya JF... Umejua pesa nini?
Tukiosha hivyo vyombo ulivyoniambia hapo juu utaishaKumbe unajua!!! Hivi huu udada ulonipachika unaexpire lini?

Anajidai haelewi huyoHa ha haaa acha kumchanganya my x bhanaa
Hajatulia kabisa ha ha haaa wakianza kubebishana wewe fanya kugeukia huku tu Dunia iache indelee na safariDuniaaa simama nishukeee!nielekee Uranus
Kumbe!!Ndo maana huwa nakupenda
Kumbe sio pesa!!App ya JF... Umejua pesa nini?
Anapenda pesa kama wallet huyo.... Kila mazungumzo anajua ni pesaHahaaa!jibu sahihi wakati sahihii!!