Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Halafu hajui mapenzi nini et?Hivi wewe si uko unamuwaza tuuu mtu!! Haya umeyaonaje?
Halafu hajui mapenzi nini et?Hivi wewe si uko unamuwaza tuuu mtu!! Haya umeyaonaje?
Kaone!Bad timing!hahaaaaa
Ni Dada yako lakiniSaana... Viwe vya kunanihii tu
Huo sasa ndio umbea.Hahaahaaa!masikio na macho vina wivu
Yaani acha tu.Hahaaaa!usiombe halafu wanacheka balaaa!umbea wa codes!!!
Vya kuosha vyombo.Saana... Viwe vya kunanihii tu
We mwenyewe unajua,ila mahaba yasizidi tukafanya ya nandy na billnas tukachekwa hukuKumbe!!
Sijui anaplan kumuua nani?Halafu hajui mapenzi nini et?
Nikajua pesa nitume ac number.Anapenda pesa kama wallet huyo.... Kila mazungumzo anajua ni pesa
Hem muambie arudishe lips yake inayo karibiana na yako kwa uzuriMa ex mia kidogo acha wabebs!+utapeli juu
Hahahaaaa!! Kumbe unautamaniii.Unabaki kuogopa kuuliza usijeitwa mshakunaku
Si nakukata miguu.We mwenyewe unajua,ila mahaba yasizidi tukafanya ya nandy na billnas tukachekwa huku