Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Tafsiri ya mapenzi ni pana sana...

Kwa tafsiri isiyo rasmin... mapenzi ni hali ya macho kuona na kuvutiwa na inachokiona, moyo kutamani na kupendezwa kua nacho hicho kilichoonwa na macho, akili kujenga taswira nzuri na ya kuvutia hatimae kukipenda hicho kitu...

Cc: mahondaw
 
Bado malizia na mpaka kuingiza hisia kali kufikia kuua au kujiua
 
Wadau hivi tafsiri sahihi ya mapenzi haswa ni nini?

Wanasema mapenzi yanarun dunia ni kweli?
Kwa nini ukimpenda mtu unamtamani muda wote?

Hivi kwa nini mwingine anaua au kuuwawa kisa mapenzi?

Kwa nini wengine wanaona wengine wanaachana?
Hivi kwa nini baadhi hujinyonga eti kisa mapenzi!?

Mapenzi yanaishi au hupatikana wapi?moyoni,machoni,akilini au mwilini?

Kwa nini wapo husema mapenzi pesa wengine husema mapenzi akili?

Hivi haya ni kitu gani?
Mapenzi ya DHATI ni yapi?

Jamani kwa nini wengine wanapendwa wasipopendwa?huku wengine wanapendana wote?

Hivi unaweza kumdhuru au kumsaliti unayempenda kwa dhati?

Unaweza penda mume au mke wa mtu?
Unawezaje penda mtu usiemfahamu?

Aiseee!mapenzi jamani!
 
Back
Top Bottom