Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Je mshabiki wa mpira kuzimia timu yake ikifungwa siyo mapenzi?Mapenzi ni kitendo cha jinsia mbili tofauti kukubaliana wawe wanafanya ngono ,wakishafanya ngono ndo yanaitwa mapenzi
Je mshabiki wa mpira kuzimia timu yake ikifungwa siyo mapenzi?Mapenzi ni kitendo cha jinsia mbili tofauti kukubaliana wawe wanafanya ngono ,wakishafanya ngono ndo yanaitwa mapenzi
My ex wangu wewe haujanimiss?Nakusalimi pia
Kama kawaida yakoKwani nimewaza nini?
Thats justifiable, nazungumzia sahivi ukiwa mtu mzima ushawahi kumtenda mtu? How did you feel?Eeehh!ndiyo Ila nilikua bado mdogo ananipenda mimi mwanafunzi nilikua nasomaa sasa!nisingeweza hata kidogo
Kwani nimekufungia GPRS?Nikipotea uulizwe nilipo...
Ooouh....Yupo kama kawaida yake huibuka mda wowote yeye
Hapana unani remoteKwani nimekufungia GPRS?
Ananisingizia.Unajua anapo patikana
Ngoja ninyamaze naona nitavunja ndoa za watuLoohhh!na mvua hizii!
Yap hayo ndo mapenzi zungukeni kotee mapenzi ni kutiana tuShikamoo mapenzi ya mama sabrina.
Yaani hata kula unaweza kusahau.Hahaaa!sana upate wambea kama uko saluni!
DuuuhYap hayo ndo mapenzi zungukeni kotee mapenzi ni kutiana tu
Mapenzi yapo mengii ila original yake ndio niliyosemaJe mshabiki wa mpira kuzimia timu yake ikifungwa siyo mapenzi?



HutakiDuuuh

Hahahaa!! Unitue.Kama kawaida yako
Kaka yangu kabisaaa!!Hapana unani remote