Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,373
- 176,210
Kwani wanakosekana sasa!!Balaaaa!!na muwapate wa kuwateta
Kwani wanakosekana sasa!!Balaaaa!!na muwapate wa kuwateta
Sasa my ex wangu unaogopaje wasiojulikana? Acha kuidhulumu nafsi basi.Nakosaje sasa khofu nikiamsha hisia hapa watakuja wasiojulikana ukanichoropoka.
mimi ntasubiri uziamshe wewe
Kunaniliu ni kuosha vyombo, si unajifanyaga vyombo huoshi wewe!!!
Aaaah kabsa, hayo ndio mapenzi.Toa tu!isije liwa na nyerere
Nimekuelewa.Sasa my ex wangu unaogopaje wasiojulikana? Acha kuidhulumu nafsi basi.
Ha ha haaaKunaniliu ni kuosha vyombo, si unajifanyaga vyombo huoshi wewe!!!
Kwakweli mimi sijasema hivyo.Hahaaaa!loiihhh!pesa kwanza mapenzi yatakuja baadae
Una speed my ex, ndo hali ya hewa au kunimiss kumezidi?Nimekuelewa.
Kwa hali hii hewa tukumbushe tu naziamsha sasa
Hapana dada, tunaendeleza tu.mmeanza eeh
Hahahaaaa!Mapenzi ni uchizi wa muda mfupi au mrefu.
Inategemea umekupiga kiasi gani.
Vyote vyote vimeongeza speed yani nshawaza hapa uko mpweke hivyo nisichelewe wakapanda dau tuUna speed my ex, ndo hali ya hewa au kunimiss kumezidi?
Vyote vyote vimeongeza speed yani nshawaza hapa uko mpweke hivyo nisichelewe wakapanda dau tuUna speed my ex, ndo hali ya hewa au kunimiss kumezidi?