Mapenzi ni nini hasa?

Mapenzi ni nini hasa?

so wanawake wote wapo hivyo unavyodhani, mie hana la kuniambia kwasasa coz hata dk 5 za maongezi nae cna.

Nimeona wengi ndo hivyo wanasema old is gold Nyamayao vya kale ni dhahabu.
 
Kila siku najiuliza hivi mapenzi ni nini hasa?
Najiuliza kwa nini watu wanapenda mapenzi?
Nashuhudia ili mapenzi yanoge je ni lazima kuwe na wivu ndani yake?
Nashuhudia watu wengi wanatoa roho zao kisa mapenzi?
Hivi mapenzi jamani nini kwa kweli?
Naomba msaada nifanye nini ili niweze kuyafaidi mapenzi.

Ni nini kiini cha wivu katika mapenzi?
Hivi mapenzi yana nini mpaka mtu unang'ang'ania?
Mapenzi kwa nini mtu akisaliti yupo radhi kujinyonga?
Naombeni msaada nilazima uliye mzimia na kufa na kuoza juu yake mkafanya mapenzi?
Mapenzi jamani yana nini utakuta ndugu wanahasamiana kwa ajili ya mapenzi.
Nitaendelea.....

Mapenzi ni Imani!

...unataka na kujilazimisha kuamini binti/bwana fulani ndio suluhisho la maisha yako ya shida na raha hata ikibidi mpaka kifo kitapowatenganisha.
 
Labda waungwana tusaidiane katika hili, manake mara nyingi ukiuliza watu maana ya neno mapenzi basi utapata tafsiri tofauti tofauti waati mwingine zinazopingana kutoka moja hadi nyingine.

Wengine wanasema mapenzi ni Upofu, kujitoa kwa mtu mwingine, kumjali na kumthamini mtu mwingine kama unavyojijali n.k n.k..

Mara nyingine huwa nawaza kuwa mapenzi ni Hali fulani ya ubinafsi ambao tunao binadamu, kwa nini? Kwa sababu mara nyingi mapenzi ya watu huchukuliwa kwa kuegemea upande mmoja, yaani mtu anaamua kuwa mpenzi wako pale tu anapokuwa anajisikia vizuri kuwa nawe. Ina maana kuwa katika kupenda tunaangalia ni wapi tunafurahi/tunajisikia vizuri sisi na si nani anafurahi anapokuwa na sisi. Sijawahi kusikia mtu akisema nimeamua kuwa mpenzi wake kwa sababu hawezi kuishi bila mimi. Sana sana utasikia, siiwezi kuishi bila yeye.

Wadau naomba tusaidiane kupata jibu mujarabu kuhusu maana kamili ya neno Mapenzi. Na je, mapenzi ya kweli kabisa ni yapi hasa?
 
Swali ni gumu sana , japo majibu yake ni rahisi sana.

nafikiri suala hili ni la practical zaidi kuliko theory
 
Ni mgandamano/mshikamano/mkumbatiano/mwingiliano wa nafsi mbili kiasi kwamba furaha yake ni furaha yako, uchungu wake ni uchungu wako na kinyume chake. Mko damu-damu, nyama-nyama, moyo-moyo. MMESHIBANA.
 
Ni mgandamano/mshikamano/mkumbatiano/mwingiliano wa nafsi mbili kiasi kwamba furaha yake ni furaha yako, uchungu wake ni uchungu wako na kinyume chake. Mko damu-damu, nyama-nyama, moyo-moyo. MMESHIBANA.

umenichekesha sana
 
MwanajamiiOne,una uhakika mapenzi unayoongelea ndo yale Fidel80 anamaanisha?Si unajua hata ngono ni kufanya'mapenzi'? Nauliza hivi kwa kuwa Fidel katika thread yake hapo juu ubeti mmoja kauliza na ninakuu 'naombeni msaada ni lazima uliyemzimia na kufa na kuoza juu yake mkafanya mapenzi naye?' Upo hapo Mdau?
 
Kila siku najiuliza hivi mapenzi ni nini hasa?
Najiuliza kwa nini watu wanapenda mapenzi?
Nashuhudia ili mapenzi yanoge je ni lazima kuwe na wivu ndani yake?
Nashuhudia watu wengi wanatoa roho zao kisa mapenzi?
Hivi mapenzi jamani nini kwa kweli?
Naomba msaada nifanye nini ili niweze kuyafaidi mapenzi.

Ni nini kiini cha wivu katika mapenzi?
Hivi mapenzi yana nini mpaka mtu unang'ang'ania?
Mapenzi kwa nini mtu akisaliti yupo radhi kujinyonga?
Naombeni msaada nilazima uliye mzimia na kufa na kuoza juu yake mkafanya mapenzi?
Mapenzi jamani yana nini utakuta ndugu wanahasamiana kwa ajili ya mapenzi.
Nitaendelea.....

What is love? It is one of the most difficult questions for the mankind. Centuries have passed by, relationships have bloomed and so has love. But no one can give the proper definition of love. To some Love is friendship set on fire for others Maybe love is like luck. You have to go all the way to find it. No matter how you define it or feel it, love is the eternal truth in the history of mankind.

Love is patient, love is kind. It has no envy, nor it boasts itself and it is never proud. It rejoices over the evil and is the truth seeker. Love protects; preserves and hopes for the positive aspect of life. Always stand steadfast in love, not fall into it. It is like the dream of your matter of affection coming true.
love-puzzles.jpg
Love can occur between two or more individuals. It bonds them and connects them in a unified link of trust, intimacy and interdependence. It enhances the relationship and comforts the soul. Love should be experienced and not just felt. The depth of love can not be measured. Look at the relationship between a mother and a child. The mother loves the child unconditionally and it can not be measured at all. A different dimension can be attained between any relationships with the magic of love. Love can be created. You just need to focus on the goodness of the other person. If this can be done easily, then you can also love easily. And remember we all have some positive aspect in us, no matter how bad our deeds maybe. And as God said �Love all�


Depending on context, love can be of different varieties. Romantic love is a deep, intense and unending. It shared on a very intimate and interpersonal and sexual relationship. The term Platonic love, familial love and religious love are also matter of great affection. It is more of desire, preference and feelings. The meaning of love will change with each different relationship and depends more on its concept of depth, versatility, and complexity. But at times the very existence of love is questioned.

Some say it is false and meaningless. It says that it never exist, because there has been many instances of hatred and brutality in relationships. The history of our world has witnessed many such events. There has been hatred between brothers, parents and children, sibling rivalry and spouses have failed each other. Friends have betrayed each other; the son has killed his parents for the throne, the count is endless. Even the modern generation is also facing with such dilemmas everyday. But �love� is not responsible for that. It is us, the people, who have forgotten the meaning of love and have undertaken such gruesome apathy.

In the past the study of philosophy and religion has done many speculations on the phenomenon of love. But love has always ruled, in music, poetry, paintings, sculptor and literature. Psychology has also done lot of dissection to the essence of love, just like what biology, anthropology and neuroscience has also done to it.

Psychology portrays love as a cognitive phenomenon with a social cause. It is said to have three components in the book of psychology: Intimacy, Commitment, and Passion. Also, in an ancient proverb love is defined as a high form of tolerance. And this view has been accepted and advocated by both philosophers and scholars. Love also includes compatibility. But it is more of journey to the unknown when the concept of compatibility comes into picture. Maybe the person whom we see in front of us, may be least compatible than the person who is miles away. We might talk to each other and portray that we love each other, but practically we do not end up into any relationship. Also in compatibility, the key is to think about the long term successful relationship, not a short journey. We need to understand each other and must always remember that no body is perfect.

Be together, share your joy and sorrow, understand each other, provide space to each other, but always be there for each others need. And surely love will blossom to strengthen your relationship with your matter of affection.
 
Mkuu BAK umeifufua hii kitu.
Kwa wale waliomo na wanao tarajia kuanza masuala ya mapenzi ni fursa pekee ya kujiuliza.
 
Mapenzi jamani wanasema ni matamu utamu wake ni upi?
Mapenzi ni shubili wengine wanadai,shubili yake ni ipi?
Mwanajamii,Masanilo,Yo Yo,Msanii,Kaizer,Mbu,WOS,Nyamayao,Penny mpo wapi jamani mnisaidie sielewi nini maana ya mapenzi.

Ukijua maana ya neno kizungumkuti basi utakuwa umejua kila kitu.
 
Mapenzi ni kama maji!

Yanachukua sura ya chombo kilichoyahifadhi!

kama ni sufuria ; kikombe ama kibuyu!
 
Kukamua.......thts love....if hukamui no Love.....
 
Maana ya mapenzi inategemeana na mtazamo wako. lakini mapenzi kama mapenzi ni matendo ya furaha, faraja baina ya watu wawili haijalishi jinsia zao. However, kama mtazamo wako ni majamboz basi kwa kifupi ku- do ndio issue yenyewe na bila ku - do hakuna mapenzi maana nakumbuka enzi zili kulikuwa na kamsemo eti "MAPENZI BILA VITENDO HAYA NOGI NI SAWA NA CHAI BILA SUKARI"
 
Back
Top Bottom