Mapenzi ni nini hasa?

...huyo tunamwita 'mlafi'! si unajua mwenye tabia za ulafi akivimbiwa anakuwaje? mwenyewe hujiona kafwaudu kumbe -anahitaji kusaidiwa, hajiwezi!

Hehehe mkuu Mbu haya mapenzi nimeamini mtu hatosheki,
Mapenzi ndugu yangu Mbu hayana shibe mtu yupo radhi ageuke mrafi lakini lengo lake litimie yaani aiburudishe numbula.
 
Laiti kama Mwanajamii ungejua mapenzi nini leo hii usingelijuta.
Mwanajamii mapenzi yana utamu ndani yake lakini utamu ukizidi utakuja juta,
Ingekuwa Mwanajamii unatambua mapenzi yana shubili usinge kubali kufia,
Mwanajamii nini umekipata katika mapenzi?
Mwanajamii baada ya kuwa katika mapenzi umejifunza nini?
Mwanajamii wanasema mapenzi hayana formula je wewe ulitumia formula ipi?
Nasikia uchungu juu ya mapenzi naomba niishie hapa.
 
.......... Fidel ntakujibu kesho leo nakuomba unisamehe........... mapenzi!
 
Hivi mapenzi pasipo maumivu kwa wahusika yanawezekana kwenye dunia ya leo?
 
Mapenzi ni bubu
mapenzi ni kiziwi
mapenzi ni kilema
mapenzi ni yatima
mapenzi kiwete
mapenzi ni ukoma
mapenzi ni kipofu
mapenzi ni ulemavu
mapenzi ni maumivu
mapenzi ni furaha
mapenzi ni kicheko
n.k, n.k, n.k,
 
..

... mapenzi ni pamoja na 'uchoyo' wa roho kutaka "umtakaye" awe wako peke yako, kwa hali yeyote ile iwayo hata kama itabidi udhalilike mbele ya jamii inayokuzunguka.

Mbu,tunaweza kuita hali hii wivu?
 
Mapenzi ni bubu
mapenzi ni kiziwi
mapenzi ni kilema
mapenzi ni yatima
mapenzi kiwete
mapenzi ni ukoma
mapenzi ni kipofu
mapenzi ni ulemavu
mapenzi ni maumivu
mapenzi ni furaha
mapenzi ni kicheko
n.k, n.k, n.k,

Hii imekaa vizuri mtu wangu!
 
Hivi mapenzi pasipo maumivu kwa wahusika yanawezekana kwenye dunia ya leo?

Sentensi tata hii mpaka nimecheka kwa nilivyofikiri mimi...Maumivu yapi unamaanisha? kichwa au maumivu ya kuumizwa kwa kutendwa??
Fafanua mkuu!..
 
Sentensi tata hii mpaka nimecheka kwa nilivyofikiri mimi...Maumivu yapi unamaanisha? kichwa au maumivu ya kuumizwa kwa kutendwa??
Fafanua mkuu!..

Ngoja nimpige tafu,
Maumivu kama kutoswa au kuto thaminiwa na yule umpendae kwa dhati yaani husikii la kuambiwa juu yake lakini yeye anakuona **** tu na hana time na wewe na anakutosa jumla.
 
Mwana mimi sikutegi lakini nataka nipate ufafanuzi haya mapenzi kama ni matamu kwa nini watu wanauana kwa ajili ya wivu wa haya mapenzi.
Na hapo kama ni shubili mtu unateseka kwa ajili ya mapenzi kwa nini usiayaache jamani?

mapenzi huwanza kwa utamu, sasa yanapokuwa shubiri ndio wengi wetu hawawezi kuyaacha tukiamini kwamba hatuwezi kupoteza/kuacha ule utamu tuliokuwa tunapeana mwanzo, so unagangamala kuweka mambo sawa hata kama unaona unatumbukia shimoni na kwa wakati huo hutaelewa lolote, natamani kungewaga hakuna kitu kinaitwa "mapenzi"duniani.
 
Ngoja nimpige tafu,
Maumivu kama kutoswa au kuto thaminiwa na yule umpendae kwa dhati yaani husikii la kuambiwa juu yake lakini yeye anakuona **** tu na hana time na wewe na anakutosa jumla.

hivi kama mtu hana time na wewe unataka nini tena?wakati mwingine nadhani hayo maumivu tunajitakia wenyewe, na kuna njia nyngi za kutoswa, kama iliyonikutaga mie enzi hizo ile naikubali mpaka kesho na cjilaumu, bali nilijiuliza maswali bila kupata majibu, lakini ile dizaini unaona limtu halina muelekeo kabisa, hajali/hakuckilizi wala kukuelewa hapo unasubiri nini tena ucshike ustaarabu mwingine?
 
[/COLOR]
hivi kama mtu hana time na wewe unataka nini tena?wakati mwingine nadhani hayo maumivu tunajitakia wenyewe,

Hehehehe pole Nyamayao kumbe na wewe yalikukuta pole sana swity.
Lakini utakuta mtu hakupendi wewe unang'ang'ania ndo kujitia maumivu hayo yakujitakia lakini nafahamu yote haya watu wanafanya kwa ajili ya kupenda mi navyo jua ukiwa katika mahusiano kwa wale ambao hawajao au kuolewa kama mimi bado sijao jaribu kuto fall in love kuwa simple tu kesho akikumwaga huumii sana kama yule aliye fall mala atatafuta vidonge ajimalize frustrations za kumwaga.
 
I liked this too!!!!!!!!!!!

Kumbe ni uchoyo??????????ni kweli kabisa.
na huo UCHOYO fide ndio unasababisha WIVU... hutaki raha unayopata wewe kwa mpenzi wako apate mwingine japo raha ya kupapasa shavu....
 
na huo UCHOYO fide ndio unasababisha WIVU... hutaki raha unayopata wewe kwa mpenzi wako apate mwingine japo raha ya kupapasa shavu....

hahahaha mkuu unajua changu changu ila chako changu ndo hii.
 
Hehehehe pole Nyamayao kumbe na wewe yalikukuta pole sana swity.
Lakini utakuta mtu hakupendi wewe unang'ang'ania ndo kujitia maumivu hayo yakujitakia lakini nafahamu yote haya watu wanafanya kwa ajili ya kupenda mi navyo jua ukiwa katika mahusiano kwa wale ambao hawajao au kuolewa kama mimi bado sijao jaribu kuto fall in love kuwa simple tu kesho akikumwaga huumii sana kama yule aliye fall mala atatafuta vidonge ajimalize frustrations za kumwaga.

luv yangu likuwa tofauti kidogo,jamaa alikuwa ana care mpaka dk ya mwisho, na ucku huo 2lienda dinner na mapenzi moto moto bila hata kasoro, asubuhi hapokei cmu wala hajibu sms, yaani ilikuwa ya kistaarabu balaa, nam salute aisee mana aliniweza.
 
asubuhi hapokei cmu wala hajibu sms, yaani ilikuwa ya kistaarabu balaa, nam salute aisee mana aliniweza.

Hehehe luv labda jamaa alipitiwa tu na wewe ungechuna kama umetuma sms jamaa hajakujibu ungebaki kimyaa au ndo kuzimia saaana dah hiyo swity tunaita msaada kwenye tutaz.
 
Ngoja nimpige tafu,
Maumivu kama kutoswa au kuto thaminiwa na yule umpendae kwa dhati yaani husikii la kuambiwa juu yake lakini yeye anakuona **** tu na hana time na wewe na anakutosa jumla.

Nashukuru kwa tafu Mkuu, naona imeeleweka sasa,
leo nimebanwa wajameni,
see you then
 
Back
Top Bottom