Mapenzi ni nini hasa?

[/COLOR]
hivi kama mtu hana time na wewe unataka nini tena?wakati mwingine nadhani hayo maumivu tunajitakia wenyewe, na kuna njia nyngi za kutoswa, kama iliyonikutaga mie enzi hizo ile naikubali mpaka kesho na cjilaumu, bali nilijiuliza maswali bila kupata majibu, lakini ile dizaini unaona limtu halina muelekeo kabisa, hajali/hakuckilizi wala kukuelewa hapo unasubiri nini tena ucshike ustaarabu mwingine?

Kumbe hii HB ni janga la kila mtu eeh!!! Hadi dada yangu nawe yalishakukumba, mimi nilijua hizi HBs zinafanywa kwa baadhi ya watu tu

Accronmy
HB= Heartbreak
 
Hehehe luv labda jamaa alipitiwa tu na wewe ungechuna kama umetuma sms jamaa hajakujibu ungebaki kimyaa au ndo kuzimia saaana dah hiyo swity tunaita msaada kwenye tutaz.

c unajua tena luv mambo ya mapenzi na tulikuwa shwari tu so wazo la kudhani jamaa kachuna nilikuwa cnalo kbsa, kumbe sio kuuchuna tu na kuachwa juu, haaaa aisee, then nikaja kukutana nako Kampala wakati huo nimeshakuwa na mr, anaanza oohh haaa nyingi....
 
Kumbe hii HB ni janga la kila mtu eeh!!! Hadi dada yangu nawe yalishakukumba, mimi nilijua hizi HBs zinafanywa kwa baadhi ya watu tu

Accronmy
HB= Heartbreak

Sipo enzi hizo, kajamaa kalinichezea rafu kweli bila ya mie kujitambua, na alikuwa ananijua vizuri kwamba angenionyeshea vi mtindo vya kiajabu ningekuwa wa kwanza kumwaga, sema kaliniwahi then sasa hivi kanataka leta ile yako ya "kujikumbushia"
 
c unajua tena luv mambo ya mapenzi na tulikuwa shwari tu so wazo la kudhani jamaa kachuna nilikuwa cnalo kbsa, kumbe sio kuuchuna tu na kuachwa juu, haaaa aisee, then nikaja kukutana nako Kampala wakati huo nimeshakuwa na mr, anaanza oohh haaa nyingi....

...... Dada hiyo bolded imenibidi nicheke tu maana mh. Kwa kweli mie mapenzi siwezi kuyaelezea. Kuna article ya Oprah nimeisoma kwenye blog ya Binti Machozi inafundisha ..... nasubiri idhini ya mwenye mada niipaste hapa ila sijui italeta mada ndani ya mada!
 
Last edited:
then nikaja kukutana nako Kampala wakati huo nimeshakuwa na mr, anaanza oohh haaa nyingi....

hehehe hapo umeniacha hoi yaani ndo zile zile sizitaki mbichi.
Lakini kama kweli ulikuwa unampenda kwa dhati wanasema wapenzi wazamani eti ruksa kukumbushia vp jamaa akuomba mkumbushie au ndo alikuwa analeta za kuleta.
Na usikute alichachawa alivyo kuona mtoto umependeza kwi kwi kwi baada ya kupata papaa mwingine hapo ndipo naona jamaa alipagawa.
 
Sipo enzi hizo, kajamaa kalinichezea rafu kweli bila ya mie kujitambua

Nyamayao kwa nini sasa unamdharau?
Umesahau ulikuwa unamwita honey,sweet,asali wa moyo wangu, husband to be,nakuona kwenye bilauli,nikitembea nakuota,nisiposikia japo sauti yako silali,bila wewe siwezi kuishi yote haya umeyasahau leo unamdharau lakini kumbuka alikuwa anakufikisha kunako au maufundi amezidiwa na Mr. kwi kwi kwi maana ukizidiwa tu na new ndo dharau hizi zinavyokuja hahahaha.
 
...... Dada hiyo bolded imenibidi nicheke tu maana mh. Kwa kweli mie mapenzi siwezi kuyaelezea. Kuna article ya Oprah nimeisoma kwenye blog ya Binti Machozi inafundisha ..... nasubiri idhini ya mwenye mada niipaste hapa ila sijui italeta mada ndani ya mada!

I-paste tu Mwanajamii1, sidhani kama ina tatizo
 
Sipo enzi hizo, kajamaa kalinichezea rafu kweli bila ya mie kujitambua, na alikuwa ananijua vizuri kwamba angenionyeshea vi mtindo vya kiajabu ningekuwa wa kwanza kumwaga, sema kaliniwahi then sasa hivi kanataka leta ile yako ya "kujikumbushia"

Mmmmhh!!! Kumbe sio mimi mwenyewe mwenye fikra hizi eeh!!!

Unaonaje uki-implement
 
Nyamayao kwa nini sasa unamdharau?
Umesahau ulikuwa unamwita honey,sweet,asali wa moyo wangu, husband to be,nakuona kwenye bilauli,nikitembea nakuota,nisiposikia japo sauti yako silali,bila wewe siwezi kuishi yote haya umeyasahau leo unamdharau lakini kumbuka alikuwa anakufikisha kunako au maufundi amezidiwa na Mr. kwi kwi kwi maana ukizidiwa tu na new ndo dharau hizi zinavyokuja hahahaha.
hahahhahahhahahahhahahhahahah fide nawe umesahau ule msemo mla mla leo mla jana kala nini....
 
duuhh, mi huo mtindo wa kukumbushia ndo nilishaacha zamani sana, akikukatalia unakua wewe ndo umemiminiwa, ila mapenzi ukiyafanya kama wanavyofanya wahindi kwenye picha,au tamthilia za wenzetu,ndugu yangu maendeleo kwako ni o%.
 
hehehe hapo umeniacha hoi yaani ndo zile zile sizitaki mbichi.
Lakini kama kweli ulikuwa unampenda kwa dhati wanasema wapenzi wazamani eti ruksa kukumbushia vp jamaa akuomba mkumbushie au ndo alikuwa analeta za kuleta.
Na usikute alichachawa alivyo kuona mtoto umependeza kwi kwi kwi baada ya kupata papaa mwingine hapo ndipo naona jamaa alipagawa.

haaa wapi, unajua luv mie cpendi kuitesa roho yangu kabisa, kweli nilishangaa na niliumia coz ckumkosea lolote then amenikuta nipo ulimwengu mwingine aanze ohhha ahhh wallah cwez kumwelewa hata kidunchu, haitotokea! tunakutana mara kibao tu lakini ni salamu na kila mtu anashika lake, kukumbushia aisee haiwezekani.
 
...... Dada hiyo bolded imenibidi nicheke tu maana mh. Kwa kweli mie mapenzi siwezi kuyaelezea. Kuna article ya Oprah nimeisoma kwenye blog ya Binti Machozi inafundisha ..... nasubiri idhini ya mwenye mada niipaste hapa ila sijui italeta mada ndani ya mada!

mami paste hiyo kitu tushuke nayo! kweli mami sasa mtu alikuacha ki juu juu kihivyo leo mkutana aanze hadithi kweli tamwelewa mtu kama huyu?
 
Mwanajamiione SHUSHA VITU HAPA...........lol!ndugu yangu fideli atakufa bure
 
haaa wapi, unajua luv mie cpendi kuitesa roho yangu kabisa, kweli nilishangaa na niliumia coz ckumkosea lolote then amenikuta nipo ulimwengu mwingine aanze ohhha ahhh wallah cwez kumwelewa hata kidunchu, haitotokea! tunakutana mara kibao tu lakini ni salamu na kila mtu anashika lake, kukumbushia aisee haiwezekani.

Nyamayao unaongea tu lakini siwezi bisha labda jamaa mchovu ndo maana unamdhalau sasa umepata baba lao aliyemzidi kwa kila kitu ndo maana unasema hakafai.
 
Nyamayao kwa nini sasa unamdharau?
Umesahau ulikuwa unamwita honey,sweet,asali wa moyo wangu, husband to be,nakuona kwenye bilauli,nikitembea nakuota,nisiposikia japo sauti yako silali,bila wewe siwezi kuishi yote haya umeyasahau leo unamdharau lakini kumbuka alikuwa anakufikisha kunako au maufundi amezidiwa na Mr. kwi kwi kwi maana ukizidiwa tu na new ndo dharau hizi zinavyokuja hahahaha.

haaa umenifurahisha sana! cjamdharau luv na wala cwez kumdharau, narekebisha kauli yangu!...unajua luv ss hivi mwenyewe ndio anateseka mana mie nilishamaliza kipindi changu, kila nikikutana nae kama nipo mwenyewe ni oohh naomba nikueleze kilitokea nini wakati ule mpaka nikakufanyia kama nilivyofanya ili tuweke mambo sawa, haaa mie kushoka kabisa, yani wanaume cjui mkoje, sasa anieleze lipi kwasasa na litasaidia nini?
 
haaa mie kushoka kabisa, yani wanaume cjui mkoje, sasa anieleze lipi kwasasa na litasaidia nini?

Unajua mwanaume siku zote iwa anapenda ajaribu radha tofauti atazunguka weee lakini ipo radha ambayo yeye anaipendelea natambua sasa kama jamaa ana amua kukudondokea radha yako ni mulua hehehehe lakini naona wewe unaona hana radha laiti angekuwa ana radha najua tu kwa jinsi mlivyo wanawake mngekaa kitako na kuyamaliza kiutu uzima tu mkasuuza na kukonga nyoyo zenu.
 
Nyamayao unaongea tu lakini siwezi bisha labda jamaa mchovu ndo maana unamdhalau sasa umepata baba lao aliyemzidi kwa kila kitu ndo maana unasema hakafai.

jamaa hakuwa mchovu hata kidogo, alikuwa na hali nzuri! hanifai kwa sasa coz ninae anaenifaa na yeye aliniona kwa wakati ule kuwa cmfai.
 
Unajua mwanaume siku zote iwa anapenda ajaribu radha tofauti atazunguka weee lakini ipo radha ambayo yeye anaipendelea natambua sasa kama jamaa ana amua kukudondokea radha yako ni mulua hehehehe lakini naona wewe unaona hana radha laiti angekuwa ana radha najua tu kwa jinsi mlivyo wanawake mngekaa kitako na kuyamaliza kiutu uzima tu mkasuuza na kukonga nyoyo zenu.

so wanawake wote wapo hivyo unavyodhani, mie hana la kuniambia kwasasa coz hata dk 5 za maongezi nae cna.
 
Back
Top Bottom