Mapenzi ni mateso jamani/ kupenda kubaya sana

Lol..Bubu bana...you always mention that kupendwa ni raha. You must be still head over heels....

hahahahah lol! Si ndio ukweli banaaaa....sasa unataka nidanganye kwamba kupenda na kupendwa hakuna raha!? si unamuona muanzisha thread anavyoumia moyo hata baada ya nusu mwaka kukatika. Asikwambie mtu banaaa NN Mapenzi matamu!!! :):)
 
tatizo mapenzi hayaendi kiusawa kwa wengi. Unapenda usipopendwa, unapendwa usipopenda.

Kweli kabisa Husninyo na ndio maana nikasema "ukibahatika" maana kuna wengine hawajawahi kuonja mapenzi ya kweli, hivyo hawaijui raha ya kupenda na kupendwa.
 
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.

nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!

Binafsi, naelewa wat ur goin thru mkuu wangu..kipekee kabisa, bila hata chembe ya unafiki naomba upokee pole yangu ya dhati, na nakutakia kila la kheri ktk kumsahau ndugu yangu.
Niliumia kama wewe, nilishauriwa bt at the end of the day time healed my wound, iliniuma nilipomkumbuka bt nikajifunza kuwa ukitaka usiumie, basi mfikirie kama part of past that has no any signifcant importance in ur present. Jiambie alikuwa muhmu wakat ule bt kwa sasa i've moved on, umuhmu wake kwangu umepungua...pole aisee masta..
 
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.

nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!

Muda utakuponya. Watu hufiwa na husahau baada ya muda ndio itakuwa kuachana na mpenzi ?
Jitahidi kujishughulisha na mambo tofauti na yale mliyozoea kufanya pamoja.

Mapenzi ni raha sana ndugu,huyo inaonyesha ulikuwa unampenda ila yeye hakupendi.
 
Kweli kabisa Husninyo na ndio maana nikasema "ukibahatika" maana kuna wengine hawajawahi kuonja mapenzi ya kweli, hivyo hawaijui raha ya kupenda na kupendwa.

hongera kwa kubahatika.
 
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.

nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!
Get together with her playboy.
 
TUKUAidieje unataka Magangster wa JF ?????????
KUNA WIMBO WA POLEEEEEEEEEEEE MWANANGU POLEEEEEEEE,,SIKILIZA UKIRIDHISHE MWAYA ULALE SALAMA UKIWAZA NIWAZE MIE UKIMKUMBUKA NIKUMBUKE MIE
 
Sinyoriitaaaaaaaaaaaaaaaaaa sinyoritaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakupenda sinyoooorityaaaaaaaaaaaaaa wangu sikusahau sinyoritaaaaaaaaaaaaaa mapenzi yako ni hatari
nifanye nini sinyoritaaaaaaaaaaaa
 
Hujampata wa kufanana nawe ndugu yangu, ukimpata uajiuliza ulikuwa wapi siku zote kupedwa? shida tunafanya machaguzi mengi ya wenziwetu kwa kuangalia vitu flani katika maisha kama wealth, fame, popularity na vinginevo,lakini kiukweli kupata mume bora vyote hivyo wala sio vigezo...
kwa nguvu za kibinaadamu za kawaida huwezi kupata mume au mke umpendaye, mrudie mungu wako na sema naye, bisha hodi mlangoni pake mweleze shida yako naye atakusikia, hata asipojibu kwa wakati unaoufikiria wewe atakujibu kwa wakati anaoona unafaa, but kwa hakika ukimuomba KWA IMANI atajibu.....pole sana na yote, ndo ukubwa huo!! heri wewe unayeyaona haya nje ya ndoa ukapata nafasi ya kuyakimbia sasa, wenzako wanayapata haya wakiwa ndani ya ndoa ambayo ukiingia ndo basi tena (kwa wakriso), na wamebaki sasa kulia na kulaani kwa nini walipenda au kuoa
 
Haina haja ya kuendelea kutunza kumbukumbu. Amka anza maisha mpya kwani lazima life isonge mbele.
 
Back
Top Bottom