Ontuzu, mpaka mtu aje aandike thread hapa, basi pengine ana mifano hai; keshayaona sehemu haya mambo. Dunia ina mengi hii, si mchezo!Uwe na watoto wawili baba tofauti mwenzio hana alafu akupende na asomeshe wanao top schools,Funga upige sana sala labda utafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dada mmoja aliolewa na childhood sweetheart. Walianza mapenzi wakiwa form one. Baada ya kumaliza form four bidada alikwenda teaching mwanaume alikwenda chuo cha polisi Moshi.Uwe na watoto wawili baba tofauti mwenzio hana alafu akupende na asomeshe wanao top schools,Funga upige sana sala labda utafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu kinawezekana kwenye hii dunia japo kwa bongo ni mara chache ila inawezaekana. Kuna tofaut kati y comment za jf na maisha halisiKuna dada mmoja aliolewa na childhood sweetheart. Walianza mapenzi wakiwa form one. Baada ya kumaliza form four bidada alikwenda teaching mwanaume alikwenda chuo cha polisi Moshi.
Walibahatika kupata watoto wanne, mwanaume alipata uhamisho kwenda Oysters Bay polisi kutoka mkoani. Wamefilka Dar walipata polisi quarters. Dada alipata kituo cha kazi mjini.
Mkaka alianza kuwa mlevi, haijali familia. Hela ya mama yote iliishia kutunza familia. Mwalimu alikuwa anapanda mabasi kwenda kazini. Kuna baba mmoja aliishi sana Ulaya ndiyo amerudi Tanzania na Mercedes yake akawa anampita kituoni kila siku. Kuna siku yule baba aliamua kumpa lift.
Baada ya hapo kilichofuatia ni mwanaume kumuoa yule dada na alichukua majukumu ya kulea watoto wote. Mr Mercedes alikuwa na apartments anapangisha kwa USโฌ
๐ ๐ mvumilie tumm ninakasichan nakapenda sana lkn kanavonipeleka puta nikifikiri kukaacha nakaonea huruma basi mitihan tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu sema chochote mkuu [emoji23][emoji23]Para ya pili, I mean hio para ya pili! Hio hio ndio! Basi tu, ngoja nikae kimya! Dah
๐๐๐Kweni COVID 19 huwa mnapatwa na allucinations?
Tatizo kuu ni kuwa tunawakosa watu makini kwasababu ya ufahamu wetu mdogo.Hayo yote uliyoongelea kwa kwa sentesi moja ni "mwanaume anayejali".
Tafsiri ya mwanake neno" kujali" ni kupewa hela.
Kifupi mwanaume kabwela mwenye mapenzi ya kweli kwenye huu uzi hujamwongelea ndo mana umegusia ishu za 'top schools".