LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Dec 22, 2010 #61 Paka mweusi said: Msimamo tena?Mbona hata mpinzani wako hajajitokeza? Click to expand... mmmmh, na zile hela umempa Preta za nini? mmmh, mmmmmh, mmmmh, mmmmmmh
Paka mweusi said: Msimamo tena?Mbona hata mpinzani wako hajajitokeza? Click to expand... mmmmh, na zile hela umempa Preta za nini? mmmh, mmmmmh, mmmmh, mmmmmmh
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 Dec 22, 2010 Thread starter #62 LD said: Niko kwene mazoezi, nitatangaza vita muda wowote, we nihakikishie upo upande wangu tu. Manake bado sijajua msimamo wako, mara kaniombee msamaha, Na mihela umetoa, Click to expand... Usitangaze vita mama,twende polepole yataisha tu haya,na kuhusu hela na wewe chukua hizi basi.
LD said: Niko kwene mazoezi, nitatangaza vita muda wowote, we nihakikishie upo upande wangu tu. Manake bado sijajua msimamo wako, mara kaniombee msamaha, Na mihela umetoa, Click to expand... Usitangaze vita mama,twende polepole yataisha tu haya,na kuhusu hela na wewe chukua hizi basi.
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Dec 22, 2010 #63 Paka mweusi said: Usitangaze vita mama,twende polepole yataisha tu haya,na kuhusu hela na wewe chukua hizi basi. Click to expand... Mmmmmh mapenzi ya hela jamani, Siku huna hela sijui itakuwa je. Duu naogopa, kufanya maamuzi katika msingi wa pesa. Ingawa nazo nazihitaji, lakini nataka zaidi mume mwema kwangu Akiwa mwema kwangu, pesa itatafutwa na kupatikana tu.
Paka mweusi said: Usitangaze vita mama,twende polepole yataisha tu haya,na kuhusu hela na wewe chukua hizi basi. Click to expand... Mmmmmh mapenzi ya hela jamani, Siku huna hela sijui itakuwa je. Duu naogopa, kufanya maamuzi katika msingi wa pesa. Ingawa nazo nazihitaji, lakini nataka zaidi mume mwema kwangu Akiwa mwema kwangu, pesa itatafutwa na kupatikana tu.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 Dec 22, 2010 Thread starter #64 LD said: Mmmmmh mapenzi ya hela jamani, Siku huna hela sijui itakuwa je. Duu naogopa, kufanya maamuzi katika msingi wa pesa. Ingawa nazo nazihitaji, lakini nataka zaidi mume mwema kwangu Akiwa mwema kwangu, pesa itatafutwa na kupatikana tu. Click to expand... Basi ondoa shaka huyo umempata.
LD said: Mmmmmh mapenzi ya hela jamani, Siku huna hela sijui itakuwa je. Duu naogopa, kufanya maamuzi katika msingi wa pesa. Ingawa nazo nazihitaji, lakini nataka zaidi mume mwema kwangu Akiwa mwema kwangu, pesa itatafutwa na kupatikana tu. Click to expand... Basi ondoa shaka huyo umempata.
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,014 Dec 22, 2010 #65 Paka mweusi said: Basi ondoa shaka huyo umempata. Click to expand... Watu huoana hata humu!!!! Safi sana!!!!
Paka mweusi said: Basi ondoa shaka huyo umempata. Click to expand... Watu huoana hata humu!!!! Safi sana!!!!
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Dec 22, 2010 #66 Paka mweusi said: Basi ondoa shaka huyo umempata. Click to expand... Naogopa, naona unatanguliza sana pesa bwana, Isije ikawa ujasiri wako uko kwene pesa, Yaani ile ya utanikubali tu, pesa ninayo, huna ujanja.
Paka mweusi said: Basi ondoa shaka huyo umempata. Click to expand... Naogopa, naona unatanguliza sana pesa bwana, Isije ikawa ujasiri wako uko kwene pesa, Yaani ile ya utanikubali tu, pesa ninayo, huna ujanja.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 Dec 22, 2010 Thread starter #67 LD said: Naogopa, naona unatanguliza sana pesa bwana, Isije ikawa ujasiri wako uko kwene pesa, Yaani ile ya utanikubali tu, pesa ninayo, huna ujanja. Click to expand... Wala usiniogope mama ni kawaida tu katika maisha,umesoma signature yangu lakini?
LD said: Naogopa, naona unatanguliza sana pesa bwana, Isije ikawa ujasiri wako uko kwene pesa, Yaani ile ya utanikubali tu, pesa ninayo, huna ujanja. Click to expand... Wala usiniogope mama ni kawaida tu katika maisha,umesoma signature yangu lakini?
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Dec 22, 2010 #68 Paka mweusi said: Wala usiniogope mama ni kawaida tu katika maisha,umesoma signature yangu lakini? Click to expand... Utusamehe makosa yetu,kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea..... Jesus Christ..0-33AD.<!-- google_ad_section_end -->
Paka mweusi said: Wala usiniogope mama ni kawaida tu katika maisha,umesoma signature yangu lakini? Click to expand... Utusamehe makosa yetu,kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea..... Jesus Christ..0-33AD.<!-- google_ad_section_end -->