Mapenzi ni kitu hatari Jamani, huyu dada hitaji lake hasa ni nini?

Yaaaaaani najitahidi sana kumpotezea mazeeee, ninaamini yataisha na atakuja kuomba msamaha sababu nikaaa kimya huwa ananisumbua na vi sms vyake lakini tayari maandalizi ya kusepa yamekaa sawa
 
Mkuu huyo jitahidi kutengeneza show yenye akili kidogo, wakati mwingine anavungia show maana anajua dakika tano umedondoka chini.

Weka show ya maana ili ata akienda popote pale anakumbuka mapigo yako, ukisikia Mtalaka hatongozwi ujue ziliwekwa show sio za kinyonge
 
Good luck with that
Screenshot_20201223-135635.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom