gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
Wana MMU herini ya mwaka mpya!
Nawapenda sana,
Haya naombeni mnijibu swali langu hili kama mapenzi/upendo ni fadhila?.
Sijui kama mtanielewa lakini naombeni mnielewe tu manake nimekuwa nakosa jibu juu ya swali hili.
Kila siku utakuta mtu analalamika mie bwana fulan nilimfanyia hivi bi fulan ama mie bi fulani nilimtendea hivi bwana fulani nikijua atakuwa mume/mke lakini mwisho wa siku kaniacha kaoa/kaolewa na mwingine.
sasa je wewe ulitenda hayo ili ulipwe fadhila?