Mapenzi ndio starehe inayoongoza kupendwa na watu wengi

saligongo

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
298
332
Shaloom....shaloom..!!

Baada ya kupitia tafiti nyingi za ndani na nje ya nchi,ingawa binadamu hutofautiana kwa mambo mengi,lakini ukweli ni kwamba mapenzi ni starehe inayoongoza dunianj kwa kupendwa

Ingawaje kila binadamu Ana starehe yke inayomfurahisha,,wapo wanaopenda pombe na kuamini akitumia pombe stress zinakata..!!

Wapo wa sigara..anaamin sigara ni starehe yake maishani...!! Ni mifano tu ya starehe lakini kwa ujumla mapenzi ndio starehe inayopendwa na Rika zote!!

Watumiaji wa starehe hii huamini hta km ana stress,akipewa penzi shatashat...stress hutokomea mbali.

Nawasilisha!!
 
Acha utani wewe Monde bariiiiidi na nyama choma yenye pilipili kwa mbaaaaali ni habari nyingine , mapenzi hata nyau wanafanya.
 
Shaloom....shaloom..!!

Baada ya kupitia tafiti nyingi za ndani na nje ya nchi,ingawa binadamu hutofautiana kwa mambo mengi,lakini ukweli ni kwamba mapenzi ni starehe inayoongoza dunianj kwa kupendwa

Ingawaje kila binadamu Ana starehe yke inayomfurahisha,,wapo wanaopenda pombe na kuamini akitumia pombe stress zinakata..!!

Wapo wa sigara..anaamin sigara ni starehe yake maishani...!! Ni mifano tu ya starehe lakini kwa ujumla mapenzi ndio starehe inayopendwa na Rika zote!!

Watumiaji wa starehe hii huamini hta km ana stress,akipewa penzi shatashat...stress hutokomea mbali.

Nawasilisha!!

Unasema mapenzi matamu umewahi kunywa mirinda nyeusi wewe
 
Kuna ze aza saidi ovu ze stori
 
Attachments

  • IMG_20220421_143043.jpg
    IMG_20220421_143043.jpg
    457.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom