Mapenzi ndani ya treni

Mapenzi ndani ya treni

SOKONI

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
171
Reaction score
40
Salam

Alikuwa ni binti mrembo,sikuwa na uhusianonae,sijui tulipendana au tulitamaniana,mi sijui.

Kwa bahati nzuri ikatokea tunasafiri pamoja toka tabora.

Tulikata tiketi na tukapata siti za karibu.

Urafiki ulizidi kadri safari ilipokolea. Mara tushikane,mara tufanye kile ilimradi penzi la ghafla na utoto vimechanganyikana.

Usiku ulipofika,watu wengi wamelala na wachache wapo macho wanapiga stori.

Mtoto akalala miguuni pangu huku nikimtomasa kwa makini na tahadhari kubwa ili wasafiri wenzetu wasituone.

Looh ! mara dushe ikaitika na kipochi kipo tayari,kasheshe kupata eneo la tukio...! Hapo tunaitafuta morogoro.

Mziki mzima kilichotokea moro baadae..
 
Badae tutakuwa tumelala sie. Weeh malizana nae ila kama huna kinga ujue wewe ni duwanzi
 
Mzinzi anapojifaragua kwa upumbav.u wake...
 
Mmh! Kwenye treni? Labda kama ulikwenda vyumba vya first class,lakini kwa maelezo yako ya kuchanganyikana watu wa jinsia 2 katika behewa moja basi lazima mlikuwa third class,kwa hali inavyokuwaga humo sijui.

Anyway ngoja tukutane Moro hiyo tuone itakuwaje
 
Salamz,
Alikuwa ni binti mrembo,sikuwa na uhusianonae,sijui tulipendana au tulitamaniana,mi sijui. Kwa bahati nzuri ikatokea tunasafiri pamoja toka tabora. Tulikata tiketi na tukapata siti za karibu. Urafiki ulizidi kadri safari ilipokolea. Mara tushikane,mara tufanye kile ilimradi penzi la ghafla na utoto vimechanganyikana. Usiku ulipofika,watu wengi wamelala na wachache wapo macho wanapiga stori. Mtoto akalala miguuni pangu huku nikimtomasa kwa makini na tahadhari kubwa ili wasafiri wenzetu wasituone. Looh ! mara dushe ikaitika na kipochi kipo tayari,kasheshe kupata eneo la tukio...! Hapo tunaitafuta morogoro. Mziki mzima kilichotokea moro baadae..
Nyie ndio mnaoibiwa halafu baadae mnatengeneza stori
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom