Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Hahaha... Ndugu yangu nimecheka sana hapo kwenye #TeamWekaPicha ... Maana wachangiaji wengi hudai picha
jaman yoyote anaeifahamu basi aniambie maana naisaka haswaaaJamani tabia mbaya sana, usiitafute wewe!
kwa nini wanaume usiseme waache tabia ya kutembea nje ya ndoa ?Nakubaliana na wewe lakini inapotokea mtu amejikwaa kidogo, tunatarajia arejee nyumbani kwake salama. Lakini siku hizi ni tofauti maana kurudi majaliwa. Hii tabia waiache akina dada! Wakubali ku-share hasa pale wanapojikuta wamependa waume za watu!
Nico1 hebu nipe direction ya kuipata nimwekee MTU mmoja humu...Hii kitu ni nouma wahaya wanaiita shuntama....ni hatari, lakini hata baadhi ya wanaume hutumia miti shamba kudatisha akina dada na wanadata kikweli.Mimi ni shuhuda nimewahi kutumia hii dawa kwa mke wa mtu yule dada alichanganyikiwa na mimi mpaka nikaanza kuuogopa solution niliyochukuwa ni kuhama yale maeneo hili kuepusha mengi.
utasingizia na uchawi tu zinakuwaga akili hamna tu
utasingizia na uchawi kumbe mapishi ni mazuri
utasingizia na uchawi kumbe kauri ya kuongea ni nzuri haina ukakasi
utasingizia na uchawi kumbe mwanaume anasikilizwa na siyo kutukanwa
Hii ya uchawi ni kweli maana alifanyiwa mmoja wa family member wetu. Tena hawa wanawake ni wanafata pesa (Gold diggers). Lakini hawa ni baadhi ya wanawake wasiojua kutumia Common Sense. Lakini wanawake wengine mpaka Mungu anawabariki kwa jinsi wanavyojiamini na kujali familia zao. UCHAWI NI USHAMBA TU. UNAENDA KUPAKWA MASIZI YA MKAA KWA WAGANGA WA KIENYEJI.
Nawakemea katika JINA LA YESU MWENYE NGUVU,WALEGEE KABISA,WACHAWI WOTE...
jaman yoyote anaeifahamu basi aniambie maana naisaka haswaaa
jaman yoyote anaeifahamu basi aniambie maana naisaka haswaaa
Fikiria wewe siku moja umefanyiwa hivyo siku mmeo akijikuta katoka nje kweli! Sawa inauma hata kwa mumeo kutoka nje lakin si afadhali arudi mzima??? Je wewe ukifariiki au kupatwa na ulemavu wanao huwahurumii? Nashauri kama tungeshirikiana kupiga vita uchawi miongoni mwa akina dada! Umeona hata hawachangii humu, maana siku hizi ndo fashion kabisa, hata vyuo vikuu ndo story.....dawa za kushika wanaume!
Njoo kwangu mi ninayo hiyo dawa napatikana kinyenyenyezezeee uje na million 15 huyo unaemtaka kumuwekea dawa hata jitambua mpaka ukimuuliza jina lake anataja jina lako ukimuuliza mama yake nani anakutaja wewe ila uje na chozi la mnyama mmoja anaeitwa ndezi!!
Pole sana! Ulifanyaje nimwambie jamaa yangu aliyetelekeza watoto na mke hospitali ili arudi tena??