Mapenzi na Uchawi: Wanawake mnatumaliza!

Yaani Mkuu hii habari inaharibu kabisa. Mimi nimeshuhudia jamaa alikuwa family freind wa familia yangu, mara kajichanganya kwa kabinti, amehama kwake, tumemtoa juzi tukiwa team ya watu 6, karudi na begi. Baada ya siku mbili tu, mkewe kaanguka bafuni, kavunjika mguu kabisa, hivi sasa yupo Bugando. Mbaya zaidi huyo shemeji yangu, ananyonyesha mtoto wa miezi 4. The man wala hajali kama mkewe yupo hospitali! It pains alot!

Atajali vipi wakati kaishalishwa kanyama kalovundikwa ukeni masaa 12;???? Ogopa hiyo kitu.
 
Duh! Hii hatari kabisa. Just imagine mke wake mpaka sasa anauguzwa na shemeji zake. Mumewe hana hata habari. Anakula raha tu na binti huyo, lakini si unaona kuna maafa zaidi mbeleni??
 
ila mapenzi ya dawa huwa hayakawii kuchuja; mtie moyo huyo mama akazane na maombi tu; ipo siku huyo mume atafumbuka macho na kuona kwamba kapotoka.
 
Nakubaliana na wewe, lakini unadhani suluhisho ni uchawi? kwanini usikubaliane na hali ukakubali kushare kama kweli kweli unahisi unapendwa na ukamwacha mke mwenzio na hawala yako huyo waendelee kuishi salama ndani ya familia yao?? Nakubali kwamba wanaume tuna tamaa lakini wasichana wa siku hizi wanatamaa zaidi, hata za kupeleka roho za watu kuzimuni!
kila kitu kina gharama yake akikubali kushare ipo siku wewe utarudi kwa mkeo na yeye atabaki kuwa looser na kila binadamu ni mbinafsi anataka chake kiwe chake so solution ni kutulia na ndoa yako
 
Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, wanawake wanazidi kukata tamaa ya kuolewa. Silaha yao imebakia uchawi. Mfano, binti akitongozwa na kijana au mwanaume ambaye tayari yumo kwenye ndoa (inapotokea kwa bahati mbaya, amejikwaa kwa huyo binti), msichana atahakikisha huyo mwanaume anahama kwake, anakwenda kuishi na msichana huku katerekeza familia yake. Kama aliyependwa ni kijana ambaye hajaoa, basi huyo ataahirisha mipango yote na kufanya anayoelekezwa na msichana, kama alikuwa akilipa karo ya wadogo zake, inakuwa ndo mwisho. Kama alipendwa mume wa mtu, basi huyo mke wake anaugua na kufariki au anachanganyikiwa! Hii nimeishuhudia katika familia mbili. Huu ni uchawi. Wanawake, mmezidi, muache kupenda kwa ndumba, mtapendeka tu kwa kuonesha mapenzi natural ambayo si matokeo ya mitishamba!!
''kinga ni bora kuliko tiba'' Bora niwahi mapema kwa karumanzila maana ukifanya mchezo unawez ukamkana ata mtoto wako.
 
Atajali vipi wakati kaishalishwa kanyama kalovundikwa ukeni masaa 12;???? Ogopa hiyo kitu.

Mkuu naomba ufafanuzi zaidi kuna na kingine unaongeza au ni nyama tu. Nataka nimuwekee mtu hapa jf hata kwa pm plz.
 
kila kitu kina gharama yake akikubali kushare ipo siku wewe utarudi kwa mkeo na yeye atabaki kuwa looser na kila binadamu ni mbinafsi anataka chake kiwe chake so solution ni kutulia na ndoa yako

Ok, fine katika mazingira kama hayo na binti alijua kabisa amependa mume wa mtu kwanini aliamua kutumia uchawi kama suluhisho?? Huoni kwamba ni option mbaya?? Kutulia kwenye ndoa ni solution sawa but no all that much possible for 100%! Kuna siku mtu ataponyoka kidogo tu, wanasema kuosha macho kwenye TV mpya, hapo sasa unarudi umelishwa nyama!
 
Ndio mtulie vp na mwanamke akiponyoka? Huko ni kujiendekeza na mwisho wa siku ni ukimwi 2 kuleteana nyumbani coz hata huyo wa nje ana wa kwake pia
 
ila mapenzi ya dawa huwa hayakawii kuchuja; mtie moyo huyo mama akazane na maombi tu; ipo siku huyo mume atafumbuka macho na kuona kwamba kapotoka.

Ahsante kwa ushauri. Lakin aliyedhamiria kutumia uchawi si ataendelea ku-update??
 
Warogwe tu make hawataki kubaki njia kuu....
Charminglady, sijui kama unamuelewa mleta uzi,pamoja na kulogwa kwa wanaume wanaoumia ni wake zao ambao pengine wanauliwa kiuchawi ili huyo mlozi ampate mme moja kwa moja.
So sad kama unatumia kauli ya mh. "warogwe tu maana tumechoka",itawamaliza wamama wenzio eti!
Nimekuwa nikisoma nyuzi zako nzuri sana lkn ktk hili sikubali.
 
Mkuu naomba ufafanuzi zaidi kuna na kingine unaongeza au ni nyama tu. Nataka nimuwekee mtu hapa jf hata kwa pm plz.

Waulize akina karumanzila; .......... nimecheka sana unajua .......
 
Charminglady, sijui kama unamuelewa mleta uzi,pamoja na kulogwa kwa wanaume wanaoumia ni wake zao ambao pengine wanauliwa kiuchawi ili huyo mlozi ampate mme moja kwa moja.
So sad kama unatumia kauli ya mh. "warogwe tu maana tumechoka",itawamaliza wamama wenzio eti!
Nimekuwa nikisoma nyuzi zako nzuri sana lkn ktk hili sikubali.

Umeona eeh, hata mimi nimeshangaa nikamwuliza, "na wewe"?? Katika hili wanaoumia sana ni wanawake na watoto tena. Na sidhani kama ni sahihi kujiaminisha kwamba wanaume wote wataacha kwenda nje. Japo ni kosa lakini wanakwenda, sasa je uchawi uhalalishwe??
 
Charminglady, sijui kama unamuelewa mleta uzi,pamoja na kulogwa kwa wanaume wanaoumia ni wake zao ambao pengine wanauliwa kiuchawi ili huyo mlozi ampate mme moja kwa moja.
So sad kama unatumia kauli ya mh. "warogwe tu maana tumechoka",itawamaliza wamama wenzio eti!
Nimekuwa nikisoma nyuzi zako nzuri sana lkn ktk hili sikubali.
Hawawezi kuisha wewe; labda kupungua tu .... mbuzi wanachinjwa kila siku lakini pale Kijereshi (Mwanza - Musoma Rd) kila siku wapo tu.
 
Ha! Eti safiri na unga bila kuonwa. .hahahaha watu na fursa hawajambo. ..
Ningekuwa mganga ningeongeza kumrudisha gay kama zamani
 
Munkari unaweza kuombea mtu aliyevunjika mguu?? Yupo hospitali labda akirudi tutafanya hivyo.

isiwe taabu tunaweza kumwombea wana MMU wote akapona tufanye kama tunakomenti hivi Acuity na Munkari
 
Last edited by a moderator:
lkn boys mmezidi kuwa dhaifu sana thus y mnafanyiwa hvy coz hata hao girls wamechoka kuchezewa
 
Charminglady, sijui kama unamuelewa mleta uzi,pamoja na kulogwa kwa wanaume wanaoumia ni wake zao ambao pengine wanauliwa kiuchawi ili huyo mlozi ampate mme moja kwa moja.
So sad kama unatumia kauli ya mh. "warogwe tu maana tumechoka",itawamaliza wamama wenzio eti!
Nimekuwa nikisoma nyuzi zako nzuri sana lkn ktk hili sikubali.

Mkuu ninaelewa sana tena sana... Nina mifano hai kibao, kama hawataki kutulia kwanini wasipigwe juju??? wakibaki kwa wake zao haya yote hayatawapata....

Kuna baadhi ya wanaume ni wa*pu*mba*vu sana ( samahani kwa kutumia maneno makali)

Huduma zote anapata kwa mkewe e.i. Chakula, malazi safi, mavazi safi, huduma ya unyumba safi, akiugua anahudumiwa bila kinyongo hata kama atakuwa hajiwezi 100% lakini mwanaume huyo huyo anasema nyumba ndogo haikwepeki. Mwisho wa siku akiwekewa vya kuwekewa watu waanze kulalamika oooh wadada/wanawake wamekuwa wachawi.

Nani chanzo kama sio upuuzi wa huyo mwanaume anayejifanya hajui kustahi tupu yake?????
 
Back
Top Bottom