Mapenzi na Siri zake za ovyo

Ila vitu vingine ni kujitafutia stress tu, unachunguza kalala na wangapi then??!! kama umeamua kuoa oa tu haibadilishi kitu, cha msingi tu kwenye hao aliolala nao hakuna aliyeondoka nayo hiyo kitu, sisi wazee wa hit & run hata kama amelala na 200 as long as nafasi yangu ya 201 ndio imefikiwa hakuna issue, i play my part i leave the rest
 
Kwa jamii ya sasa na maendeleo haswa kukua kwa elimu hili haliepukiki.

Tukirudi nyuma kwa wazazi wetu je mbon ndoa zilidumu sana?

Hawa walikuwa wanaoana watu wa karibu kama jamii moja hususani kabila na ujirani ...Mtoto (mke) anajulikana mpaka makuzi yake na tabia zake
 
Halafu eti anakuka mti anakuambia oa ndio molango ya baraka itafunvuka..Milango ya baraka itagunguka wakati umeoa jitu limebeba ma nuksi na mapepo ya wanaume kibao...
 
Kwa hivyo wewe tatizo lako mahari, ukiondolewa mahari utakuwa poa na hiyo "body count"?

Wewe body count yako ni ngapi?
 
Kabisa Mkuu, ndio maana nimemalizia kwa kutoa ushauri "Vijana wachunguzane tabia kabla ya kuoana"
 
Unapowaza upambane pia kumchunguza na kuchagua mwenza mwema.
 
Uaminifu huendana na tabia za nyuma.

Wazee wetu walikuwa sio wajinga kuchunguza koo/familia za kuoa. Unapochunguza unajihakikishia kuwa upo salama japo sio asilimia zote lakini inasaidia kujenga amani.
 
Mm niliwahi kuwa out na jamaa angu wako na mkewe .walikuwa wanasimuliana stor hizo kwa uwazi mke wa jamaa alisema nikisikia kuwa ashapita na watu si chini ya 50 toka chuo hadi kukutana na jamaa .namshkaj alikuwa anawajua kama wa 5 hivi.na wana watoto 3 and very happy catholic couple
 
Upo sahihi, lakini kuchunguzana ni jambo muhimu sana kabla ya kuoana.

Watu wakiwa wana utaratibu wa kuchunguzana na kuwaacha wenye background mbaya, basi jamii itabadilika kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…