Mapenzi na plastiki..lol

Kwahiyo atakuwa anatumia hilo plastic wakati anasubiri mume arudi kwake?
Je,ikitokea huyo mume akarudi kwa mkewe,huyu mke atakuwa anaridhishwa tena kingono na mumewe?

Inasemekana kuwa hayo maplastic yanaharibu sana kisaikolojia.................................hivyo iwe ni mwanaume/mwanamke anatumia.....................mwisho wa siku.............hatafurahia tena ngono ya kawaida.

Pia wataalamu wanasema kuwa njia isiyo na madhara kwa mwanamke ......................kujiridhisha kingono kama mpenzi wake yuko mbali.........au kapata ajali...........au ana ugonjwa wa muda mrefu........... ni njia ya asili.
Kwa story niliyoisoma, mwanamke alikuwa anatumia na mumewe akiwepo, yaani huyo mume anahakikisha mkewe anaridhika na yeye akimsaidia, ni sad story niliisom a kwenye true love, mwanamme alipata ajali akavunjika kiuno.. kwa hiyo hawezi kukutana nae sababu ya maumivu makali wakaamua wanunue hilo doli
 
yah kwa mwanamke mwelewa atamuelewa mumewe hasa kwa kuzingatia kabla ya hayo matatizo alikuwa mzima akimpa dozi kama kawaida

hapa pia ur morality takes place kwani inasaidia kuamua nini ni kibaya na chema kwa muono binafsi.
 
yah kwa mwanamke mwelewa atamuelewa mumewe hasa kwa kuzingatia kabla ya hayo matatizo alikuwa mzima akimpa dozi kama kawaida
Shan. wewe kila cku mbish hata ili hulainiki dah we mkali. ila kiukweli hayana maana wala mvuto coz mwanaume ana temp yake inayofaa kwa mwanamke na mwanamke ana temp yake inayo faa kwa mume so plastick halina msaada wowote zaidi ya kuongeza mapenzi ya jinsia moja (kusagana kwa wanawake) ndio lengo kubwa la hayo maplastik. ila watake wasitake wanapenda majoto ye2 hata wanunue maplastiki 100 lkn kijasho watakitaka2
 
loooh! haya maisha bwana!! mimi nilikuwa mpiga punyeto mzuri sana kabla sijao, nimeanza kupiga nyeto since 1993 kwa wastani wa mara moja kwa siku mpaka nikaogopa labda nguvu zitapingua, asaiv nimeoa miezi 3 iliyopita, looh! kila siku nipo kwenye game, na game yenyewe sio ya kitoto. sipigi tena nyeto, nashauri wanaume wasiooa watumie hii njia kuepukana na magonjwa.
 
sibishi chavda nakuelezea kilichopo mkuu
 
loooh! haya maisha bwana!! mimi nilikuwa mpiga punyeto mzuri sana kabla sijao, nimeanza kupiga nyeto since 1993 kwa wastani wa mara moja kwa siku mpaka nikaogopa labda nguvu zitapingua, asaiv nimeoa miezi 3 iliyopita, looh! kila siku nipo kwenye game, na game yenyewe sio ya kitoto. sipigi tena nyeto, nashauri wanaume wasiooa watumie hii njia kuepukana na magonjwa.
Subiria miaka iende ndio utajuta vizuri
 
Wakwepaji wa mapenzi ya asili ya bwana na bibi siku hizi hujikita kwenye kufanya mapenzi na plastiki (dildo).......................exciting plastic man................baadhi ya watetezi wa mahaba haya yasiyo ya asili huwa wanajikita kwenye hoja zifuatazo:-

a) mwanaumme wangu haniridhishi na siwezi kumweleza kwa hiyo kuliko kuzini nimeona afadhali nitafute penzi la plastiki..........

b)Penzi na plastiki linanithibitishia ya kuwa hata mimi naweza kujitegemea na kuacha kutegemea wanaumme na machachari yao rundo..........

c) Penzi la plastiki linaniletea uhuru zaidi wa kujamiana wakati niutakao na bila ya zengwe lolote lile na kunifanya nijione ni mtu muhimu sana.........

d) Hakuna madhara yoyote hasa ya HIV na STD....................

e)Ni hatua ya kujikomboa kwa mwanamke kutoka kwenye minyororo ya ukandamizaji wa mwanaumme.....................ni ushindi dhidi ya mfumo dume..........................................

f) raha ya punyeto

Changamoto zake ni pamoja na:-

a) Khofu ya kugundulika na mpenzi wake.........

b)Kukosekana na msisimko unaoletwa na kujaamiana na jinsia nyingine.....................kama Muumba alivyokusudia..........

c) kupoteza nafasi ya kujiendeleza katika kujenga mahusiano na jinsia nyingine kutokana na kuona hakuna umuhimu wa kufanya hivyo...........

d) kuonyesha anti-social behaviour kwa jamii............
SOURCE: hii ni kulingana na makala moja katika gazeti la the Standard la Kenya...................

Wateja wengi wa penzi la plastiki ni wanawake wasomi ambao hujikita vilevile katika mapenzi ya jinsia moja .................................nionavyo.........

Rutah hii kali.... Dah!
 
Wenyewe kila siku wanaimba wao (wanaume) wako wachache alafu wengine wakitafuta njia mbadala ya kujiridhisha bila kugombania wanaume wanalalamika.Sijui wanataka wanawake wapigane kwaajili yao...?!

lakini hii siyo kwa wale ambao wapo bila wapenzi hata wenye wapenzi wamo tena sana..............
 
Rutah hii kali.... Dah!

Am glad you are back.........nil;ikuwa ninaandaa obituary sasa umeniwahi....................I am truly relieved.........welcome back home dear.............
 
Subiria miaka iende ndio utajuta vizuri

hahitaji kusubiria maana kesha funga trela la milele....ila swali baada ya miaka nenda rudi akijibinya mwenyewe aweza kweli kuridhishwa na kuridhisha.....................................................
 
Sisemi kitu. Stima zimekatika wakati yanga wanakabidhiwa kombe. Ngeleja na kikwete hutumia plastick kujiridhisha. Je watanzania tulioko gizani tutumie nasi maplastick kujipatia umeme?
 
Ni haki yao kama wanayolalamikia ina mantiki na kama wao wanaona ni sawa,ila ni dhambi kubwa sana kwa mwenyezi Mungu,na ifahamike kuwa hakuna dhambi ndogo
 
Back
Top Bottom