Mapenzi na plastiki..lol | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi na plastiki..lol

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Jul 9, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Wakwepaji wa mapenzi ya asili ya bwana na bibi siku hizi hujikita kwenye kufanya mapenzi na plastiki (dildo).......................exciting plastic man................baadhi ya watetezi wa mahaba haya yasiyo ya asili huwa wanajikita kwenye hoja zifuatazo:-

  a) mwanaumme wangu haniridhishi na siwezi kumweleza kwa hiyo kuliko kuzini nimeona afadhali nitafute penzi la plastiki..........

  b)Penzi na plastiki linanithibitishia ya kuwa hata mimi naweza kujitegemea na kuacha kutegemea wanaumme na machachari yao rundo..........

  c) Penzi la plastiki linaniletea uhuru zaidi wa kujamiana wakati niutakao na bila ya zengwe lolote lile na kunifanya nijione ni mtu muhimu sana.........

  d) Hakuna madhara yoyote hasa ya HIV na STD....................

  e)Ni hatua ya kujikomboa kwa mwanamke kutoka kwenye minyororo ya ukandamizaji wa mwanaumme.....................ni ushindi dhidi ya mfumo dume..........................................

  f) raha ya punyeto


  Changamoto zake ni pamoja na:-

  a) Khofu ya kugundulika na mpenzi wake.........

  b)Kukosekana na msisimko unaoletwa na kujaamiana na jinsia nyingine.....................kama Muumba alivyokusudia..........

  c) kupoteza nafasi ya kujiendeleza katika kujenga mahusiano na jinsia nyingine kutokana na kuona hakuna umuhimu wa kufanya hivyo...........

  d) kuonyesha anti-social behaviour kwa jamii............
  SOURCE: hii ni kulingana na makala moja katika gazeti la the Standard la Kenya...................

  Wateja wengi wa penzi la plastiki ni wanawake wasomi ambao hujikita vilevile katika mapenzi ya jinsia moja .................................nionavyo.........
   
 2. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nitaita Ngono na Plastic..............................................sioni mapenzi hapo!
   
 3. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni bora wao kuliko kujiingiza kwenye apenzi na mtu akamuumiza, hii nahisi hapa kwetu bado sana
   
 4. H

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  sodoma na gomora ndo hizi, baadaye wanaume wote watapotea watabaki wanawake tu wajiridhishe na dildo..Mungu okoa kizazi hiki cha nyoka...
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hata wanaume ni wateja wakubwa
  (Labda sio sana hapa Africa )
  Bora hata wanawake ni dildo, vibrators etc
  Wanaume ni midoli haswa yenye vichwa na
  ... mmmhh
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  kuingia kwenye mapenzi na mtu akakuumiza ni matokeo tu best...omba upate atakaekujali...mwisho wa siku plastiki si mpango wa Mungu.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Pitia changamoto zake ambazo nimezibandika hivi punde ikiwemo ni njia nyepesi ya kuwa shoga....................
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Ninaafiki na hoja hii........................
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ina kuwaje kama mume kazama kwa nyumba ndogo na mwanamke anakuwa na hamu, hapati tendo miezi hat sita, na huyu mwanamke anaogopa kuwa na mahusiano na mtu mwingine, akinunua doli hilo atakuwa kafanya makosa?
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  bulanketi chapamtu halina ushindani.................ni vyema nikatoboa............................
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  kama ilivyo kwa kuchapa mtindi litamliwaza lakini siyo ufumbuzi wa tatizo.......................atakapolichoka hilo doli bado hamu yake ni mzee wake amrudie na kumliwaza..................lol
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Hii ni PLASTIC na MWANAMKE
   
 13. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kuna wanaume huwa wanapata matatizo ya kiafya, wengine ajali wanavunjika viuno, wengine kisukari kikali sana..wanakuwa hawawezi na wananunua hayo mavitu wenyewe kuwaridhisha wake zao, tunawasikia hata kwenye mablog wakiomba ushauri na hawa utawajaji vipi?
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  hao ni wachache sana wenye maafa hayo......................walio wengi ni katika mapambano na jinsia ya kiume..............................wanadai wanapambana na mfume dume kandamizi..................lol.......................
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  the battle of the sexes is still very much with us...........lol..............kama mdada aona mzee wake ni kiwete kimapenzi si mwelekezane ili naye awe fundi...........lol.................kulikoni kumkimbia.........................na kukata tamaa.......................
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmmhhhhh
   
 17. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #17
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280

  ni ngumu sana kuhukumu moja kwa moja kwani hujui kilichompelekea mtu kuwa na mdoli japo nafasi ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke itabaki pale pale hata kama mdoli unatumika.
   
 18. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo atakuwa anatumia hilo plastic wakati anasubiri mume arudi kwake?
  Je,ikitokea huyo mume akarudi kwa mkewe,huyu mke atakuwa anaridhishwa tena kingono na mumewe?

  Inasemekana kuwa hayo maplastic yanaharibu sana kisaikolojia.................................hivyo iwe ni mwanaume/mwanamke anatumia.....................mwisho wa siku.............hatafurahia tena ngono ya kawaida.

  Pia wataalamu wanasema kuwa njia isiyo na madhara kwa mwanamke ......................kujiridhisha kingono kama mpenzi wake yuko mbali.........au kapata ajali...........au ana ugonjwa wa muda mrefu........... ni njia ya asili.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Waache wajikomboe...kwani tatizo liko wapi?!Kwanini starehe ya mwenzio uiongelee kama kero kwako?!
   
 20. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  yah kwa mwanamke mwelewa atamuelewa mumewe hasa kwa kuzingatia kabla ya hayo matatizo alikuwa mzima akimpa dozi kama kawaida
   
Loading...