Mapenzi na ndugu yananitesa sana

Endelea nae tu.

Maisha yenyewe yameshabadilika haya.

Sura, Maumbile kwa nje ni UREMBO tu, wala visikutishe
 
Isaya 58 . Soma chapter yote ujifunze.
Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asa we na huyo mtoto wa mamdogo wako undugu wenu uko wap ?
 
asa we na huyo mtoto wa mamdogo wako undugu wenu uko wap ?
... kuna umama mdogo wa aina mbili au tatu hivi. Mosi, mke wa pili wa baba yako. Huyu mwanae na wewe mna-share DNAs za baba yenu. Pili, mke wa baba mdogo (aliyezaliwa na baba). Huyu mwanae na wewe mna-share DNAs za babu yenu upande wa baba.

Tatu, dada mdogo yake mama. Huyu mwanae mna-share DNAs za babu yenu upande wa mama. Nne, mama mdogo wa hiari. Huyu kama hayuko kwenye line yoyote ya kizazi, hakuna issue sana lakini inategemea ukaribu. Sometimes heshima ya kifamilia inaweza ku-override mahusiano ya kimapenzi.

Kwa mtazamo wangu, uhusiano wa kimapenzi ambao ukifuatilia line ya kizazi kwa wahusika wanakutana ndani ya vizazi kumi HAUFAI. Baadhi ya makabila kwa kuliona hilo wamekuwa na STRICT majina ya ukoo ambayo huenda vizazi na vizazi mojawapo ya sababu ni ku-control vitu kama hivyo. Otherwise kunakuwa na hatari ya kuoana ndani ya kizazi cha karibu sana kama case ya huyu mleta mada anayelala na dada yake mwaka wa tano sasa kama anavyojisifia mwenyewe!
 
Muombe SUMAKU tuone akikataa mpige chini tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mki share DNA Kuna tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukushauri nini?? Rejea bible kama ww ni mkristo usilalae na dada wa mama ako mdogo kwa sababu yeye ni dada ako na makatazo mengine kibaoo. Kumbukukumbu ya Torati
 
Unataka ushauri gani na kila mnavyojitahidi kuachana hamuwezi

Endelea kukulana na dada ako mkuu kila mtu atabeba dhambi zake mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…