Wewe ni Mnyaturu Mkuu?Cc wengine inaruhusiwa kuoa mtt wa mamdogo
Mtie mimba then sepaKatika mazingira fulani fulani tukajikuta mimi na mtoto wa mama yangu mdogo tumeanza kupeana vya faragha,tulianza Kama utani tukitarajia hatutafika mbali,mwaka wa tano Sasa tumeshanogewa kila tukijaribu kuachana haiwezekani kabisa,dada mwenyewe japokuwa pendo limeiva lakini ukweli ni kwamba hana viwango vyovyote,sura na shape yake hovyo kabisa,ila kunako faraghani mambo ni faya.
Nimekuja kwenu nishaurini tufanyaje ili tuachane?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha yako tuone ulivyo mzuri zaidi ya huyo bibieukweli ni kwamba hana viwango vyovyote,sura na shape yake hovyo
lakini ukweli ni kwamba hana viwango vyovyote,sura na shape yake hovyo
Naunga mkono hoja vyaharamu ni vitamu sanaAiseeee....!![emoji53] [emoji53]
Nimejikuta nasikitika tu...[emoji17] [emoji17]
No ππΎππΎππΎ