Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,683
Nani kakwambia ndo mambo yangu๐ค๐คSi ndo Mambo yako..๐
Nani kakwambia ndo mambo yangu๐ค๐คSi ndo Mambo yako..๐
Wapooh sanasidhani kama kuna aliemaliza chuo bila kujiingiza kwenye mahusiano.
Avatar yako..๐Nani kakwambia ndo mambo yangu๐ค๐ค
Mkuu huo mdomo kwenye Avatar mbona ni wa chuo kikuu kabisa?Sa itakuwaje kwa sie ambao hatukuenda chuo mkuu๐ค
Punguza uganga kijana๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Avatar yako..๐
mwenye huo mdomo ni wa chuo kikuu lakini mimi ni wa MEMKWA mkuuMkuu huo mdomo kwenye Avatar mbona ni wa chuo kikuu kabisa?
UlizinguaKwakweli sikuwahi kuwa na dem chuo....maana maisha yangu mpaka namaliza kuna baadhi walikuwa hawajui kama tupo mwaka mmoja...!!watu niliokuwa najuana nao ni group langu pekee...!!
We si mpenz wanguInategemea na muhusika, maana wengine tupo chuo kwa ajili ya kusoma na sio mapenzi. Khaaaah
Chuo ndo nilikopata mke mwema,nadumu naye vizuri kabisa miaka 6 tangia tufunge ndoa ni miaka 11 tangia tuanze mahusianoWakuu...
Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Mimi nilipoanza first year tu pale chuo cha mlimani, nioikutana na mtoto mmoja wa kichaga ktk registration, tukajenga urafiki na kuzunguka wote chuo kipindi chote cha orientation, na tulipopata boom la kwanza nikamwomba nimtoe out akakubali. Tulivyokua dinner nikamwaga verse akakubali na siku ile nikala tunda.
Aliendelea kuwa mpenzi wangu hadi mwaka wa tatu alipovishwa pete ya uchumba na jamaa flan wa in service ambaye alikua keshatoa posa kabla ya kuja chuo. Tuliachana baada ya tukio hilo.
Nitaelezea mahusiano yangu mengine mengi huko chini.
Je ulipokua chuoni ulikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo mwenzako? Uhusiano ulidumu? Mlipomaliza chuo uliendelea nae?
Mi sio mganga mi Ni kenzy..๐Punguza uganga kijana๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
hakuna kazi ngumu kama kushindana na hisia hasa kwa vijana then hata mazngra ya vyuo nayo yanachangia sana kua na mahusiano, kama umeweza sijui utakua umetumia njia gani?Wapooh sana
Duh!! Nilikuwa nae ila tuliachana baada ya kumpa mimba afu nilihudumia tulipo maliza chuo akanikataa akakatalia na mtoto na nilienda kwao akasema hanijui