Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Duh!! Nilikuwa nae ila tuliachana baada ya kumpa mimba afu nilihudumia tulipo maliza chuo akanikataa akakatalia na mtoto na nilienda kwao akasema hanijui๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ
Nashukuru mungu niliacha yakapita..sikuizi naona kamekuwa keusii afu kafupii kanakitambi wajuba wanajipigia tu ukiwa mbali unaweza Sena kafurushi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kalijiunga na chama flani na kamepiwa chini kwenye kura za maoni....
Huwa najiuliza hivi mm ndo nilkuwa nakosa usingiz kisa huyu nabaki kucheka tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wakuu...

Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Mimi nilipoanza first year tu pale chuo cha mlimani, nioikutana na mtoto mmoja wa kichaga ktk registration, tukajenga urafiki na kuzunguka wote chuo kipindi chote cha orientation, na tulipopata boom la kwanza nikamwomba nimtoe out akakubali. Tulivyokua dinner nikamwaga verse akakubali na siku ile nikala tunda.

Aliendelea kuwa mpenzi wangu hadi mwaka wa tatu alipovishwa pete ya uchumba na jamaa flan wa in service ambaye alikua keshatoa posa kabla ya kuja chuo. Tuliachana baada ya tukio hilo.

Nitaelezea mahusiano yangu mengine mengi huko chini.

Je ulipokua chuoni ulikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo mwenzako? Uhusiano ulidumu? Mlipomaliza chuo uliendelea nae?
Chuo ndo nilikopata mke mwema,nadumu naye vizuri kabisa miaka 6 tangia tufunge ndoa ni miaka 11 tangia tuanze mahusiano
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom