Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Story ya mahusiano yangu ya chuo ina raha na maumivu yake.

Ipo hvi, nilipokua first year nilikua bado nna uplay boy. Sikua na manzi maalam wa chuo wala mitaani. Yoyote aliyekua anakaa kwenye kumi na nane alipandishwa floor ya nane pale anapigwa miti.

Nilipofika mwaka wa pili mwanzoni mwa semester siku moja na wanangu tunatoka cafe kupata lunch Mara ikapita pisi moja kuku wa kienyeji, yule mtoto nilipomuona kwa mara ya kwanza tu aliuteka moyo wangu. Umbo la kibantu haswaa hipsi hzo huko tako lipo kule kiuno chembamba rangi sio mweusi sio mweupe sura ya upole alafu jinsi alikua amevaa kiustarab nikajua huyu atakua BAED tu. Kama kawaida nikamshikirisha mwanangu mmoja wa damu pale kuhusu lililonikuta jamaa akamcheki yule demu akawa kapotezea vile. Baada kama ya wiki mbili nikiwa na wanangu maeneo ya utawala tukapishana nae tena akazidi kuuchoma moyo wangu kwa urembo wake. nikajipa matumaini kwakua tupo hapahapa chuo ntampata tu.

Zikapita siku wiki mwezi demu simuoni, mpaka nikaanza kukata tamaa labda hakua mwanafunzi yule alipita tu chuo.

Semester ya kwanza ikaisha sikubahatika kumuona tena yule binti. tukarudi semester ya pili nakumbuka kilikua kipindi cha mvua mvua, nimetoka lecture ya asubuhi na washkaji tunawah kunywa chai tukiwa njiani nikamuona binti mrembo kakatisha mbele yetu yupo spidi, kumcheki vzuri aiseee Ni Yeye. Nikasema leo afe mtu afe masai lazma kieleweke. Nikawaacha wana na wenyew wakawa washaelewa nin kinaendelea nikaanza kumuwah yule binti. Namuita ni kama vile hanisikii mpaka nilipomfikia akiwa na spidi yake ileile nikaanza kuongea nae ananijibu short tu, nikamuuliza anapoelekea akajibu hostel kuna kitabu kasahau akachukue awah lecture nikamwambia ntakusindikiza huku naomba namba ndo akanambia kabisa kuhusu namba nisahau sababu hatonipa ata nifanyaje ila kama nataka kumsindikiza basi sawa.

Sikua na kawaida ya kuwa kinganganizi kwa demu anayenijibu short short ila siku ile sijui ilikuaje aiseeee sikukoma Mara paap mpaka hostel zao ikabidi nimsubiri nje. Nikakaa dakika zinakatika tu nikahisi huyu hatoki ameamua kuniweka tu hapa au vip. Kama baada ya nusu saa zima ndo akatoka mwenyew akashangaa kwanza, "Wewe kaka ndo umekaa muda wote tu huo unanisubir si ungeondoka tu." Muda huo nimekua mpole na mstarab haswa ila moyoni nishamaind kuwekwa muda wote ile. Nikamwambia bila namba yako nisingeondoka ata mpaka Giza lingenikuta hapahapa. Muda huo mvua ikaanza kunyesha, sina mwamvuli yey anao mwamvuli ila mdogo ile ya wadada.

Akakubali kunifunika akaniache cafeteria yey aende zake lecture, kwakua mim nilikua mrefu zaidi yake ikabidi Mimi ndo nishike mwamvuli then mtoto ajilete ajifiche kifuani mdogomdogo huku safar hii akinipa ushirikiano nilipouliza maswali akawa ananijibu vzuri kabisa ndo nikamfahamu vzuri na nin anasomea na mwaka aliopo, alikua mwaka wa kwanza.

Kufika cafeteria nikaweka sura ya huruma kama nataka kulia dogo kuniangalia akacheka sana then akanambia nakupa namba yangu lakin ukianza tu kunisumbua nakublock na husinitafute tena. Nilitamani kurukaruka, akanitajia nikaandika nikaipiga palepale ikaita nikajiona hapa sasa mim kidume. Huo ukawa mwanzo wa safari yetu.

haikua rahisi maana hakua anajibu mesej zangu wala kupokea simu na ikitokea kajibu mesej basi n short answer kwamba huwez kuendelea kumtext kupkea hakua anapokea kabisa. Siku zikasogea lakin sikukata tamaa, mwisho akaanza kuwa anakubali tuonane chuoni. Sijisifii lakin nilikua najitahidi kuwa smart chuo, haikua ajabu kupishana na wadada wakaninyoshea vidole japo kwa pamba za karume deodorant za buku tanotano.

Siku hyo nakumbuka ndo amekubali tukutane akitoka lecture asubuhi ile siku nilivunja kabati haswaaa, nakumbuka ilikua kipindi cha uchaguzi chuo kuna sehemu nilipita nikasimamishwa na kundi la watu wakiwa vimbweta nikaulizwa kama nami n mgombea uraisi basi kundi lile lipo tayari kujitolea kupiga kampeni bure mpaka nishinde, kwa muonekano niliojitahidi kumuimpress bidada siku ile sikushangaa zaidi nikapata nguvu zaidi nikaona hapa naenda kuchukua point za kutosha Leo.

Nikamaliza lecture yangu ya asubuhi namcheki dogo akanambia nae ndo anatoka so akanielekeza wapi tukutane Mimi nikawah kufika. Mara dogo amefika pale na rafiki zake nikamuona tu jinsi amepatwa na mshtuko. Japo nilikua najitahidi kuwa smart kweny mavazi sikua napenda kunyoa ndevu na siku ile Mara ya kwanza nilipomfuata nilikua na mandefu mengi ila ndo ilikua ghafla ningefanyanyaje sasa. Siku hii nilipita saloon nikatoa ndevu nikaacha kamzuzu tu kadogo so dogo hakutegemea kunikuta vile. Rafiki zake wakaondoka wakimtaniatania pale tukabaki wenyewe. Nikamchukua tukatafuta class moja lililokua free muda ule tukakaa tukaanza kupiga story sasa.

Siku hii huyu binti alikua open sana story nyingi na full kucheka ndo nikazidi kuuona upole wake akazidi kuniteka mtima wangu. Sikutaka kupoteza nafasi ile nikamfungukia kwa jinsi nimetokea kumpenda. Akanijibu nilijua hilo tangu siku ya kwanza unaniomba namba, ila pole Mimi n mchumba wa mtu na nampemda sana mchumba wangu na sijawah wala sipo tayari kumsaliti kabisa. Ndugu wanaforum niliona kama msumari wa moto umepita moyoni ukatokea mgongoni. Na maandalizi yote haya nakula cha mbavu. Ila dogo akasema nimependa ulivo mstarabu na mpole, wakaka wengi hawapo kama wewe, tunaweza kuwa marafiki tu wa kawaida kama kwako haitokua na shida ila kuhusu mapenzi ujue kabisa haliwezekani.

Kwakua pale nilishavurugikiwa nikakubali tu lakin sas urafiki na mchumba wa mtu alafu nampenda wala sikua tayari kabisa. Baadae tukaagana dogo akasepa na mim nikaona haikua riziki labda niachane nae.

Lakin kila sku tukajikuta tunazidi kuwa karbu, wakat huo washkaji wanajua sas namfukuzia yule demu na n mkali balaa nikaona hapa washkaji wakijua nilipewa za uso ila nimekubali tuwe marafiki tu ntavuliwa vyeo vyote mabegani so hapa nakaza tu wakiwa wanatuona karbu watajua ndo naendelea na process labda napigwa kalenda sio mbaya sana.

Urafiki ukaendelea, kila tulipokua free tulitafutana na kukaa kupiga story kula pamoja na nikaanza kukaa chuo mpaka usiku sana yan muda dogo anaenda kulala na Mimi ndo naenda zangu kwangu mtaani. Nikiwa mwaka wa pili nilipanga mtaani sikukaa hostel.

Katika kipindi hiki cha urafiki nikaanza kugundua mambo kadha wa kadha, kwanza siku hyo dogo kanipa simu yake kuishika kiherehere kuangalia picha naona picha za jamaa kumuuliza huyu ndo mchumba wako mwenyew akasema ndo yey huyo,nikauliza tena huyu ndo unampenda sana unasema akasema ndo huyohuyo. Kiukweli jamaa kwenye picha mim nilimuona mshamba sana, kuna roho ikanipa nguvu akanambia tu huyo jamaa wew hakuwezi umemzidi mengi komaa. Ile sauti ikanipa nguvu kuongeza ukarbu na binti.

Jambo la pili nikagundua yule binti hana furaha wala amani, muda anaokua na mim anacheka tu usoni ila moyoni ana maumivi mengi na huzuni. Nikawa sielewi nini tatzo. Nikaanza kumpeleleza taratbu ndo Siku hyo kuja kunipa full story kuhusu hyo jamaa yake.

Jamaa ndo alikua mtu wa kwanza kwa demu tangu akiwa olevel. So mahusiano yao n ya years. Jamaa anamuhudumia binti for everything na alikua anamtumia sana hela Mara kwa Mara na nilikua naona mwenyew almost kila baada ya sku mbili jamaa lazma atume laki au zaidi kwa demu. Lakin jamaa n aina ya wanaume wanaoamini hela zao ndo kila kitu, mnyanyasaji na hakua anajiamini kabisa. Binti akanisimulia mshkaji anamnyanyasa sana, na uzuri alionao lakini jamaa yake anamnyanyasa. Akanipa simu akaniruhusu nisome mesej za mshkaji aisee nilichoka. Hapa duniani kuna wanaume wa ajabu sana, yule jamaa alikua anamtukana yule Dada matusi mazito mazito. Karbia kila tusi nililiona pale. Sababu utakuta alipiga simu binti yupo darasani kashndwa kupokea, hapo n mvua ya matusi inafuata.

Nilimuonea huruma sana na niliumizwa sana kwa jambo lile. Ile kunisimulia akiwa analia ikawa imempa nguvu gan sijui jamaa akipiga akawa anamkatia wakat kabla alikua lazma apokee waongee atkama mbele yangu. Jamaa kama kawaida yake akaanza mvua ya matusi. Nilimbembeleza binti mpka akawa sawa ila nikamwambia you don't deserves this, you deserves Better.

From there binti akaanza kunikubali, hasa nilikua najitahidi sana kumtia moyo maana kwa ile hal alikua kama imemuathiri kisaikolojia alikua anajiona nothing, sasa mostly of the time tulipokua wote nilikua nampa sana moyo na kumtengenezea ujasili. Hii kitu ikatengeneza feelings kwake. Huku nikiendelea kubembeleza japo niwe spare tyle maana huyu binti alitokea kuuteka kweli moyo wangu na kwa nilichokua nakiona kwa jamaa yake niliamini it's matter of time watashndwana.

Binti akajenga hisia kwangu, lakin always alikua ananambia nijue ana mtu wake na niheshimu. Sikua na jinsi nikawa mpole tu. Baada ya kubembeleza sana siku moja akakubali kuja kunitembelea, ni kweli alikuja akashnda nikampikia akashangaa nimewezaje kupika vzuri vile, nikachukua point nyingne muhimu sana kwake bila kujua. Ajabu nilipojarbu kuomba mechi ulitokea ugomvi mkubwa na alinibadilikia sikuamini nilipofikifikria wap nilipoanzia nikawa mpole. Baadae akaaga nikamsindikiza ila akanambia hatokuja tena kwangu. Nikabaki kuumia tu.

Mahusiano yale yakaendelea lakin binti hisia zake ziliendelea kuzidi kwangu. akawa anataka tuonane almost kila siku n tukikutana alikua anapenda sana kuchezea kifua changu yan lazima atatafuta chance aingize mkono ndani achezee garden love lakin mim nikimshika tu ataruka huyo na ndo hataki tena. Huku jamaa wapo ila binti akabadilika hakua na ule ukondoo, jamaa alikua akimjia juu atazima simu anaweza hasiwashe hata siku nzima. Jamaa akawa ndo muomba msamaha sasa.

Kipindi tukiwa tunakaribia kumaliza lectures ili kujiandaa na mitihani nakumbuka ilikua ijumaa nimetoka lecture na washkaji nikanyosha mpaka kwangu, ni asubuhi ya siku hyohyo tukiwa tumeonana na binti. Imefika saa mbili usku dogo akanitext anataka kuniona. Kila njia niliyotafuta kumkwepa usiku ule nisifanye safar ya chuo dogo akawa haelewi anataka kuniona. Sikua na jinsi.

Kama alivoimba Oten akitakacho binti, nikafunga safar mpaka chuo tukaenda kula na demu piga sana story, nikamgusia swala la kuja kwangu weekend hakadai hapana nilichotaka kumfanya siku ile hawez kuja sababu nikijarbu tena atanichukia sana, nisiburi aachane na jamaa yake so niwe mvumilivu.

Skutaka kutumia nguvu nikamwambia mbona wew umenihitaji usku huu nimefunga safar mpaka huku, leo naomba tuondoke wote utalala kwangu na sitokufanya chochote. Dogo akashtuka akanyanyuka nisindikize room uende kwako nimeridhika kukuona tayari. Nimemsindikiza tumefika nje ya hostel zao hakutaka hata kuniangalia akanihaga tu kwaheri naomba tuonane kesho uje chuo twende library kusoma pamoja akapiga hatua ya kwanza ya pila ya tatu nikamuwah nikamdaka mkono nikamvuta kifuani sikumpa nafasi nikapeleka mdomo mdomoni mwake. Katika maisha yangu it was the best kiss nimewah kumkiss mwanamke. Nakwambia it was the best. For not less than three minutes midomo imegusuna. Nilipomuachia mtoto wa watu kwanza hakuweza kusimama ikabidi nimshikilie, macho kafumba, anapumua kama katoka kukimbilia marathon kifua kinapanda na kushuka. Alipofungua macho unajua alinambia kitu gani,!

Kwaleo naishia hapa kesho tukiamka salama basi ntaendelea kwenye rraha mahusiano haya na kumalizia machungu yake
Mkuu hii ripoti Fanya kunitumia katika ukamilifu wake. Bonge la story.
 
Mkuu malizia basi
 
Mkuu Nimepanga karibia na chuo, kila nikiwa narudi ghetto nasikia makelele tu dirishani ya watu wanapeana dozi.
 
Nilikuwa gangsta ,mgumu sicheki na Raia

Kuna manzi aliwahi jipitisha nikamkaushia

Baada ya kuingia kitaa ndio najiona fala farasi kweli kweli

Kitaa walinikomaa nilichakata tatizo mijimama hupata vile vipusa vingw'asu vyenye harufu za kisekondari.

Siku nimestaff sinaga sana mizuka ya kufukuzia mademu.

Napambana na uchumi wangu

Kila zama na wakati wake
 
Kwaiyo mkuu chuoni ukuwahi kabisa kuwa n mahusiano ya kimapenzi
 
Back
Top Bottom