BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,244
Sio hivyo ndugu....mimi wangu walikuwa mtaani...coz nlpanga nje...!!mle chuoni....sikutaka kujchanganya maana kulikuwa na taarfa tata kidogo
Ulizingua
Ulizingua
[emoji3][emoji3]Malipo hapa hapa duniani nyoko wee..Binti yako tunamsubiri kwa hamu😀
ok sawa mkuu..Hapa Manyoni
Imetka hy mkuu.....Niambie niandikeje nita edit tu
Sure....upotezaj wa mdaUlizingua
Uliogopa umeme nini mkuu?Sio hivyo ndugu....mimi wangu walikuwa mtaani...coz nlpanga nje...!!mle chuoni....sikutaka kujchanganya maana kulikuwa na taarfa tata kidogo
Yaan wee nae lol, mpenzi mtazamaji tyuuuh. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]We si mpenz wangu [emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sijui kwa nini nimekuonea huruma😁Mimi sikuwahi kuwa na mpenzi chuo sababu ya tungi. Nilikuwa nakunywa sana pale mlimani bar mademu wakawa wananishangaa sana. Sema nilikuwa vizuri sana kwenye masomo wakawa wananikubali kushare na mm masomo lakini sio love. Hadi namaliza nilitongoza karibia darasa zima la kozi yangu lakini sikupata hata mmoja.
Kila kitu n mipango na malengo ya muhusika, chuo kipo ili kutoa Elimu na sio mahusiano ya kimapenzi, sijaona mazingira yeyote kwa ngazi ya vyuo kuwa n shawishi ya mahusiano km sio hulka na ulimbukeni wa baadhi ya wahusika.hakuna kazi ngumu kama kushindana na hisia hasa kwa vijana then hata mazngra ya vyuo nayo yanachangia sana kua na mahusiano, kama umeweza sijui utakua umetumia njia gani?
sijajua kama hadi bihaindi ze sini unamaanisha ulichoandika hapa.Kila kitu n mipango na malengo ya muhusika, chuo kipo ili kutoa Elimu na sio mahusiano ya kimapenzi, sijaona mazingira yeyote kwa ngazi ya vyuo kuwa n shawishi ya mahusiano km sio hulka na ulimbukeni wa baadhi ya wahusika.
Tena huwa inakuwa hivyo kulingana na zile pesa za boom tyuuh.
Nina maanisha hivyo eti, ukweli humuweka mtu huru. Uwiiiiihsijajua kama hadi bihaindi ze sini unamaanisha ulichoandika hapa.