agrey nziku
Member
- Jan 10, 2015
- 12
- 1
- Thread starter
- #21
Thankx kwa ushauli JombaKafungeni ndoa bomani
Watoto ni wa baba....watafuata dini ya baba......
Thankx kwa ushauli JombaKafungeni ndoa bomani
Watoto ni wa baba....watafuata dini ya baba......
namba tena Jomba. Ww toa maushauri tuu!!Nipe namba yake nimsikie yeye ana msimamo gani hasa katika hili kabla sijakusbauri wewe.
nilizungumza na ashura akasema Yupo Tayari kubadili dini lakn tatizo baba yake anasema Kama niivyo ndoa iahilishweuzuri sisi wanaume ndo tunaopropose, mwanamke hata kutongaza hawezi, Ashura ndo yupo kwenye upande wa kupoteza zaidi.
I get u king snrMwanaume wa kweli awez kumfata dini mwanamke atakuwa kaolewa la sivyo muachane tuu na umwambie kabisa anachezea bahati hivyo kukupoteza coz wanaume wenyewe tupo wachache
asante kwa ushauri mzurU ni ushauri mzuri,unaeza kutafuta wa dini yako na io ndoa isiwe na amani kabisa,mapenzi ni makubaliano yenu wazazi ni wa kushirikishwa tu dini isiwe chanzo cha kuondoa furaha yenu wanawake ni wengi lakibi kumpata kama uyo aiwezekani,mnaeza kufunga ndoa serikalini
nilizungumza na ashura akasema Yupo Tayari kubadili dini lakn tatizo baba yake anasema Kama niivyo ndoa iahilishwe
Hellow wadau,
Ninatatizo moja kubwa sana na hata sjui nianzie wapi kusolve. Ninampenzi wangu anaitwa Ashura ninampenda sana pia yeye ananipenda sana.
Lakini tatizo nikwamba mimi ni mkristo yeye ni mwislamu na ningependa awe mwenza wangu wa maisha. Pia wazazi wangu wanakataa kosa dini tofauti na wanadai harusi itafungwaje.
Napia italeta mtafaruku kwa watoto wafate dini ya baba au mama. Kikubwa baba mkwe hataki bint yake abadili dini kuwa mkristo na kwangu pia vivyo hivyo sitaki kuchange dini.
Am on dilemma I need your suggestions wadau
Sikubaliani na wewe!Dini anabadili mwanamke mana wanaume tunaoa.....ukiona mwanaume kabadili jua kaolewa huyo
Sikubaliani na wewe!
Binti anatakiwa akusikilize ww na Abadili dini.. Kama kweli anakupenda. Mumueleweshe Babake binti kama hataki.. Binti inabidi afuate uamuzi wako coz wewe ndio Unamuoa na Sio Babake.. Akishindwa Muache tafuta wa Dini yako. Ni Mbaya sana kuoana na kila mmoja akawa na dini yako.
Dini anabadili mwanamke mana wanaume tunaoa.....ukiona mwanaume kabadili jua kaolewa huyo