maju
Senior Member
- Oct 20, 2011
- 118
- 28
Mwaka 2144 teknolojia itakuwa mbali sana kiasi kwamba mtu utaweza ku download DNA blue print ya mtu unayempenda kwenye dating site yoyote then unai print kwenye 3D Clone printer then unampata mtu wako.
Hata babuzetu mwaka 1890 hawakutegemea watu wanaweza kuchumbiana kwenye social networking website kama ilivyo sasa.
Hata babuzetu mwaka 1890 hawakutegemea watu wanaweza kuchumbiana kwenye social networking website kama ilivyo sasa.