Mapenzi matamu lakini shubiri pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi matamu lakini shubiri pia

Discussion in 'Jamii Photos' started by mgonja.p, May 3, 2012.

 1. m

  mgonja.p New Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeolewa na nina mtoto mmoja ila mume wangu ana wivu sana, mara nyingi tukiangalia movies au tukitoka out akiona mwanamke mrembo hupenda kumsifia na wakati mwingine kumsifia lakini mm huwa nanyamaza kimya na roho huwa inaniuma sana, lakini mm nikimsifia mwanamme akiwa amependeza hununa siku nzima na kusema huo ni umalaya, hebu nisaidieni huyu ni mwanaume wa aina gani,
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sasa kama unajua tatizo la Mume wako ni Wivu kwanini usifie wanaume wengine.. (hayo ndio mapenzi compromise vumilia vinavyovumilika, am sure na yeye yapo maybe anayovumilia).

  Kama wivu unazidi hadi anakufuga hio ndio mbaya lakini issue kama ni kununa peke yake solution yake ndogo sana (usisifie wanaume wengine) na kama yeye akisifia inakukera mwambie aache kwamba una wivu (am sure atakuelewa)
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mbona sioni picha?
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Simple!!! just keep quiet when found yourself in such an unpleasant situation!! Unajua kumsifia mwanamume/mwanamke tafsiri yake kwa walio wengi ni kuwa umemtamani, and if opportunity offers itself you are likely to be in love with her/him!!!
   
 5. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jukwaa la picha hili weka picha yako tukuone basi ili tutoe maoni yetu
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha ha ha ha....halafu mkongwe, tangu 17th jan. 2008?
   
Loading...