nimeolewa na nina mtoto mmoja ila mume wangu ana wivu sana, mara nyingi tukiangalia movies au tukitoka out akiona mwanamke mrembo hupenda kumsifia na wakati mwingine kumsifia lakini mm huwa nanyamaza kimya na roho huwa inaniuma sana, lakini mm nikimsifia mwanamme akiwa amependeza hununa siku nzima na kusema huo ni umalaya, hebu nisaidieni huyu ni mwanaume wa aina gani,