Penzi jipya huwafanya waswahili wajione wako India au Korea au Ufilipino...
Watu hawa huona wengine hawajui au hawezi au hawajabahatika kwenye mapenzi.
Pia watu hawa huwa mabalozi wazuri pale kikishawaramba... Tukupe muda gani ili kisipokuramba uje utuumbue?
Sisi tunakupa nainte dayz..