Mapenzi matamu jamani

Mapenzi matamu jamani

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
906
Reaction score
2,488
Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya kweli inatokea hapo.

Kama una kazi nzuri ,pesa na na kila kitu ila kama huna mwenza maisha kwako hayana maana yeyote ni hutokuwa na furaha ile ya dhati kamwe.
 
Back
Top Bottom