Hilo inavyoonyeshaa ni penzi jipya soon tu atakuchoka ,hayo mahaba nibebe utajibeba mwenyewe
..navyoandika huu uzi,nasumbuliwa na maumivu ya tumbo kidogo hadi nimeshindwa kula,ila nipo na hubby hapa,katoka kuniogesha kanifuta maji,kanivalisha pichu na night dress,kanifunika shuka nilale!! amekaa pembeni kuna kitabu anasoma sijui ni nini ila ndo namuangalia tu hata simalizi,nawaza mengi juu yake!.nampenda sana!!..
Horyaaaa.
Twende tukajichekee kwenye thread yangu mpya.
BTW, bado nakumbukaga ile post yako "Amka na BBC"
Hilarious!
ninamfahamu huyo jamaa....wewe ni wa tano kwenye orodha yake mnaofanyiwa hivyo.
ninamfahamu huyo jamaa....wewe ni wa tano kwenye orodha yake mnaofanyiwa hivyo.
Hehehe
Just like the old days
Unampenda kwasababu anakupenda!......Problemmm....
hahahhahahahaha, nlitaka kusema the same mamie. Wengine tulibebwa, tulilishwa, tunaletewa msosi, unafatwa chuo hadi room wapelekwa, haondoki hadi ule dinner, asubuhi waamshwa. Ila sasa text ya kwanza yaweza kufika saa9 jioni na maisha yanaenda. Nina zaid ya mwaka au miaka miwili sijabebwa.
Yanamwisho hayo
Eliza where is it?
Mwanzonii wanaume wanakuaga very sweet! Subirii utajionea