Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

samahani Rogie...hujalazimishwa kuchangia chochote hapa...unaweza pita tu kama huoni wala hamna atakae kuita..naimani pilipili nailamba mimi wewe yakuwashia nini?

halafu sio kama nalala jf mimi sio mods wa hapa eeh..we ungekuwa hulali na imani hata hapa usingepaona

mxiuuuuuu.....

Hahahaha umecatch dada tulia. Pilipili kama ni ya unga itawawasha watu wote


Just like the old days
 
Enjoy the moment my dia,love ur man now usijali kama atabadlika hapo baadae hiyo itakufanya uishi kwa wasiwasi mwishowe uanze kuharibu uhondo
Haijalishi he is a star and they are characterized with bad behaviour may be that man is among few who are different,love now,enjoy his belongness now and let the future take care of itself
A6

thanx sweetheart!!..mekupenda bure
 
aah wala ucjal mke mwenza wangu!..tumeamka vyema,tulikuwa tunapigana na mito mda si mrefu katoka kaenda kazini,na mimi ndo najiandaa hapa mama yake kaniita tukashinde wote kwake nimpikie.,keshakuwa shost yangu tena!.

hlf kuna thread nimeona unarumbana angalia wasikuharibie siku leo tena mapema hivi...

Hhehehe kweli huna shughuli ya kufanya.


Just like the old days
 
aah wala ucjal mke mwenza wangu!..tumeamka vyema,tulikuwa tunapigana na mito mda si mrefu katoka kaenda kazini,na mimi ndo najiandaa hapa mama yake kaniita tukashinde wote kwake nimpikie.,keshakuwa shost yangu tena!.

hlf kuna thread nimeona unarumbana angalia wasikuharibie siku leo tena mapema hivi...

Hahahhah jaman how swiiit it is,kampikie bi mkubwa tena nami nakuja huko mchana...
Mpenzi yaniii tena nitachafuliwa siku.wacha nitoke zangu humu.
badae mwenza wangu
 
Hhehehe kweli huna shughuli ya kufanya.


Just like the old days

hlf kweli sina shughuli ya kufanya eh...haya we mwenzangu mwenye shughuli ya kufanya unafanya nini huku saiv,..tena asubuh yote hii!?eh
 
Hahahhah jaman how swiiit it is,kampikie bi mkubwa tena nami nakuja huko mchana...
Mpenzi yaniii tena nitachafuliwa siku.wacha nitoke zangu humu.
badae mwenza wangu

haya mama,karibu!
hata mimi natoka huku,..baadae mke mwenza
 
Love a man for who he is.

A Bongo Movie "Star" Doesn't make him a better man than any other.

Women let us learn to see men for who they really are beneath their clothes, status or whatever.

Then the True Love which has seemingly become so elusive in recent times might just be ours!

word! we have to change
 
hlf kweli sina shughuli ya kufanya eh...haya we mwenzangu mwenye shughuli ya kufanya unafanya nini huku saiv,..tena asubuh yote hii!?eh

Ni kawaida yangu asubuhi,katikati ya siku na jioni kupita humu kuona kuna nini.

Usijali nilikuwa nachangamsha kijiwe tu.
 
Habari ya saa hii wana JF

Ni kuhusu penzi langu na huyu star wa bongo movie (jina kapuni) alofanikiwa kuniteka roho mpaka mwili kiukweli mapenzi ni matamu tena sana tu,japo naamini sisi wote ni binadamu kuna wakati tunakosea na tunaelewana kwa mambo madogo madogo.

Mwanaume huyu akikosea hajui kuficha kabisa hata kama yupo mbali utamjua tu kupitia ongea yake kwenye simu inabadilika anapata kigugumizi au anaongea haraka haraka mpaka unamgundua,(sijui kama wanaume wengine wapo hivi?) na hata akiwa karibu kama anajua amenikwaza atanibeba, anibembeleze mara afanye hivi mpaka hasira zote zinapotea.

Napenda tu anaposema Am Sorry Honey, nimekosa na muombea kwa mungu asije akabadilika. Navyoandika huu uzi, nasumbuliwa na maumivu ya tumbo kidogo hadi nimeshindwa kula. Ila nipo na hubby hapa, katoka kuniogesha kanifuta maji,kanivalisha pichu na night dress, kanifunika shuka nilale!! amekaa pembeni kuna kitabu anasoma sijui ni nini ila ndo namuangalia tu hata simalizi.

Nawaza mengi juu yake nampenda sana.

Wanamke wana mapenzi ya uongo sana mara nyingi.
 
mradi topic isibadilike na kuwa " usiwaamini masuper star wa bongo movie wana mapenzi ya ulaghai"
 
Hivi huyu Mungu tunayemuomba wakati tupo macho kodo tunazini ni yupi??!!! Mi huwa nashangaa sana, eti namuomba Mungu atufikishe mbali, huku mnazini kila siku tena kwa kukusudia kabisaaaa!!!!! Damn huyu Mungu atakuwa keshakuwa babu yetu naona!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom