Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Mapenzi Matamu Jamani, Mungu Tuongoze

Mke mwenZa all the best,mwanzo huo uwe hadi mwisho, Watu wanaishi kwa kukariri.haimaanishi wote n vimeo kuna wazuri pia jaman.

Pole kipenzi, ugua pole....Luv ya!
 
Mkuu akimaliza kusoma hicho kitabu ulete mrejesho kilichofuatia.
 
Mke mwenZa all the best,mwanzo huo uwe hadi mwisho, Watu wanaishi kwa kukariri.haimaanishi wote n vimeo kuna wazuri pia jaman.

Pole kipenzi, ugua pole....Luv ya!

asante mke mwenza!!...mme anakusalimia sana! eti amekumic namwambia nanuna anacheka!..
 
sio kama nampenda kwasababu ni star,hapana!!..nampenda kwavile ananipenda,kazi yake mimi naichukulia kama kazi nyingine,ila tu ndo anajulikana sana..ikija kwenye mahusiano yetu kazi yake pembeni,nampenda alivyo.na anajua hilo

Unampenda kwasababu anakupenda!......Problemmm....
 
sitangazwi,nshakataaga hata maswala ya magazeti!!..na nashukuru ananielewa!

sorry,hivi ni wewe juzi kati ulifanyia upasuaji sijui?!.kama sio wewe basi nimefananisha id
wewe hupendi lakini kina Shigongo na timu yake wanavyojua kunusa watakuacha kwel? Hizo ndo kazi zao,kila la kheri katika mapenzi yenu mfike mbali hadi kwenye ndoa,nasubiri kadi., ndio mim haswa naendelea vizur namshukuru Mungu.
 
asante mke mwenza!!...mme anakusalimia sana! eti amekumic namwambia nanuna anacheka!..

punguZa wivu si uko nae hapo jaman...
Mwambie nammiss pia mpk nasinzia bila kufumba macho
 
kwanza nakupa hongera lakini pia pole wangu!maana wanaume woote huanza hivyo,kipindi kama hiki utaitwa majina mazuri yoote uyajuayo wewe,utapelekwa popote utakapopataka.utabebembelezwa kwa maneno mazuri yote ya kukupendeza,usijisahau sana mapenzi ki geu geu!wote tumeonja hayo mwishowe imebaki historia tu!
 
wewe hupendi lakini kina Shigongo na timu yake wanavyojua kunusa watakuacha kwel? Hizo ndo kazi zao,kila la kheri katika mapenzi yenu mfike mbali hadi kwenye ndoa,nasubiri kadi., ndio mim haswa naendelea vizur namshukuru Mungu.

asante sana na ugua pole dia!!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom