sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,869
- 11,486
Noma sana kweli unaonekana umefika kikomoMwenzio nimezama nashindwa kujinasua.....
Nipelekee salamu tafadhali kwa yule wangu muhibuu
Noma sana kweli unaonekana umefika kikomoMwenzio nimezama nashindwa kujinasua.....
Nipelekee salamu tafadhali kwa yule wangu muhibuu
Ooh jizuie kutapika Kasie maana usijeitapika na nyongo kabisaMie sina hali wala ahueni. .... niko hooiiii
Ni shubiri tuu.....
Kutapika ndo kumeshika hatamu. ..
Teheee teheeeee eti sanaaa aya vizuri!!Haaaha Putin wewee......
Mwenzio nacheka lakini mdomo hauvutiki nyuma kuelekea kwenye mashavu kuonesha taswira ya kucheka au kutabasamu. .....
Hiyo sanaa yako ya picha nimeielewa bin kukusoma. Ntakutumia.
Ila dugudee kwa leo acha lishuke tuu.... hadi nitoke huku nilikonasa.
Hahahaaaa shoga
Teheee teheeeee eti sanaaa aya vizuri!!
Wala sina haraka , wee endelea kuliamsha tuu lkn siku likikusimamia mmmhhhhh sijuiiii [emoji125] [emoji125] .
Uko unatoka lini ?? Au iwe ivi wakat unasubiri kutoka ,,uwe unachomoka Mara moja moja [emoji8] [emoji8]
Usiwe kama huyu![]()
Hahahahhaa maneno yako tuuu mwanamke weee nakufananisha nabinti alofunzwa na makungwi toka angali mdogo...sipatiii picha ukikalia naniiiiii.Niko huko uliko kwenye utawala wako aka Russia.....
Siku ya siku ikinisimamia itabidi usisimue ili msimamo usisimshe masisimuko hadi hapo hali ya mawimbi itapokuwa shwari.
Kazi kwako..... kufuzu kwako ni kumpa Kasie ahueni atoke kwenye lindi la mahaba.
Wahindi wnaita Mohabbatein
hahahah sema wewe kiazi,Nisiseme mie mizizi. Waridi huvutia kila aina ya vipepeoHahahahhaa maneno yako tuuu mwanamke weee nakufananisha nabinti alofunzwa na makungwi toka angali mdogo...sipatiii picha ukikalia naniiiiii.
Hahahahahahah tukutane sasa kama naww upo apa,,, wabongo hatutupani popote tunapokua ....
Mkuuu maisha yenyewe mafupi...ngoja nikomaeee na kasiee tuuuu huyu mwanamke nahisi Dude likilala analiamsha na busu zitoooooo huku akilikanda kandaaa na nakitambaaa vhenye uvugu uvuguu.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]hahahah sema wewe kiazi,Nisiseme mie mizizi. Waridi huvutia kila aina ya vipepeo
Hahahahhaa maneno yako tuuu mwanamke weee nakufananisha nabinti alofunzwa na makungwi toka angali mdogo...sipatiii picha ukikalia naniiiiii.
Hahahahahahah tukutane sasa kama naww upo apa,,, wabongo hatutupani popote tunapokua ....
Hahahahhaa ndo unataka kuninyima kilichopo katikati yamiguu yako nn ??[emoji8] [emoji8] [emoji8]Yaani wewe hunitakii mema...... looh
Niko hoiii taabani tena bado waniita nikalie hiyo..... khaaaa....
Yuu wapi yule muhibuu wangu aje aniafu na lindi hili la mapenzi bin mahaba.....
Si kwa kuchoka huku.
MaShaAllah pumbazo la nafsi hakuna budi isipokuwa njiwa azifikishe tu hizo salam.......Huba lipo kitanzini,Moyo u shakani,Ama kweli mwenye kupenda hana hiyari Kasie