Mapenzi kutaka kuniua!

Mapenzi kutaka kuniua!

Mmh. Hiyo yataka moyo Kaka GuDume sababu mapenzi ni kitu kingine bana.

Unaweza sema wacha aende ila ukajikuta maumivu yanakuja tu kila unapomkumbuka. Labda kama humjapendana ila kama mmependana maumivu lazima aisee hata kama anagawa mali yake.
Ni kweli.
 
Ha ha ha.... Hizi unajua zipo kwa ajili ya kuliwa tu nothing else...si unajua siyo urembo ule kusema zinapendesha mwili...
gudume again... nimependa hako kamstari 'osha papuchi lete tule', dah we jamaa inaonekana ni mroho sana wa nyuchi na unazitendea haki sii mchezo... cheza kwa step man.
 
My dear why nisuse utamu.... Labda niwe sina njaa.... Kwani mwingine akigegeda atamaliza? Si inabaki for future use? Najilia na akitaka apeleke na kwingine.si yake mwenyewe... Mali yake siwez mpangia matumizi

Ndo maana nakupendaga haususi tam hata siku moja tuoshe tulete ule full stop
 
Ungekuwa hujaolewa dada ngekuona... Wabaya wenu ni akina likandambwasada wanaojitangaza wana misambwanda mikuuubwa. Akina delicious, akina nani sijui... Wapo humu pia wengi. Na hao wengine hate me sababu situmii jamii yao.... Mi nakula mabint wazuri wanaovutia kama wewe... Kiukweli wanaume tupo wachache sana. Sasa akina delicious wanakuja kupunguza idadi ya wanaume tena....sasa wastani ni mwanaume mmoja wanawake mia moja... Just imagine.

Kwakweli ata mi kugombania mwanaume siwezi aseeee agawe tu rungu yake kwa raha zake,kwanza wanaume wenyewe mko wachache ivi na ivi wanaume wengine siku hizi nao wanalilia dyudyu.chaaaah gawa tu ukirudi ntakuuliza umetumia kinga,ndio osha leta nijisevie mkuyenge mie.maisha yaendelee

Wanawake labda tuwagombanie kina Steve jobs na kina bill gates kidogo inaleta mantink😉😉😉
 
emmyta dada yangu... Kuna faida gani ya kumpenda na kumng'ang'ania mtu kimapenzi ambaye hakupend? That is suicide mission. Kama unayempenda ametekwa hapo pambana na fanya juu chini ukamwokoe huko alikotekwa. But si kuwa eti ana bwana au bibi mwingine.si ni hiyari ya moyo mama? Mi hata nikupende vipi ukiwa unajichanganya na mwanaume mwingne sababu ya mapenzi yangu i let you go uka enjoy huko...why tugombane na kuumizana? No.... I wont do that.

Mmh. Hiyo yataka moyo Kaka GuDume sababu mapenzi ni kitu kingine bana.

Unaweza sema wacha aende ila ukajikuta maumivu yanakuja tu kila unapomkumbuka. Labda kama humjapendana ila kama mmependana maumivu lazima aisee hata kama anagawa mali yake.
 
GuDume ukiacha pombe utakua philosopher mzuri sana....ila nina was was ukiacha pombe hata huo uphilospher unaonekana utaondoka kwahyo wee endelea tu kunyanyua mizinga
 
Sawa mwenye limsambwanda likubwa... Karibu halafu juzi juzi ulisema umeenda mombasa... Hawajambo watu wa huko? Maana unazunguka tu... Safari zako Mombasa,zanzibar,lamu na tanga. Likandamsambwanda......

UNA ELEMENTS ZA KISHOGA NDUGU.
 
Ha ha ha... Pombe huwa inanipa wahyi.... Natafakari kwa kina. Nikiwa sijanywa hata akili haifanyi kazi.

GuDume ukiacha pombe utakua philosopher mzuri sana....ila nina was was ukiacha pombe hata huo uphilospher unaonekana utaondoka kwahyo wee endelea tu kunyanyua mizinga
 
Hili limeushtu sana moyo wangu... Why nife au niue sababu ya mapenzi? Nlishakataa kugombania mpenzi... Yaani nampenda msichana na mwingine naye anampenda then nigombane na mshkaji sababu ya msichana? Huo ni ufala.wasichana wenyewe wapo weeeeeeengi mpaka wanabaki.

Ndiyo... Mi nawaona wengi tu wazuri wanazagaa zagaa... Juz nlikuwa restaurant moja nlikuja kuhudumiwa na dada mmoja mzuri sana. Wa umbo,rangi na sura.ila ni mhudumu wa restaurant.nliwaza why wanaume wamekuwa wagumu kuoa? Yule dada akipata mwanaume serious kweli atachezea ndoa?

Nmesikitika kusikia kijana mmoja kamuua mwenzie bahati mbaya sababu ya manzi. Huyo manzi after two weeks atakuwa na mshkaji mwingine watu wanaendeleza wenzao walipoishia.inakuwa mchana,inakuwa usiku siku ya pili. Yule jamaa marehemu ataenda kuonana na sir God na atahukumiwa kadri ya matendo yake.

Huyu aliyebaki naye atachukua jengo lake. Segerea maskini ashapoteza uelekeo. Demu mwenyewe ataendelea kugegedwa na akina gudume. Why nifanye hilo jambo sababu ya mapenz?niache wadada weng tu humu watanimiss,niache msosi wa huku duniani,niache vinywaji na watoto warembo?

Msiendekeze mapenzi...ni upuuzi sana.mi nawaambia kwa experience kubwa nliyonayo...kama mapenzi yanakupa hard time achana nayo.fanya issues nyingine.kama vipi jichezee pool tu then utulize mzuka. Why uhangaike na mambo you cant handle?

Mimi nakupenda when you love me ukinambia leo hii hunitak tunaagana kwa amani.wala sikuuliz hata mara mbili. Na kama sijakuoa hata nikisikia umegongwa na mwingine ntauliza kama mlitumia kinga.then ntakwambia tu osha papuchi lete tule.

Mtu anakula anaacha hapo hapo why bother kugombea?mhusika kaamua mwenyewe kugawanya mali yake kwa wadau mbalimbali why mi nihangaike kuzuia kitu kimebandikwa kwake? Acheni ufala vijana... Kugombea mpenz ni zilipendwa hizo.kwa sasa tugombee mambo ya kutuongezea kipato.

Wabillah tawfiq.
Clouds wameshapata topic.
 
Hahaha mi cjawai kuyapa nafasi mapenzi ktk ubongowangu,ila nikiwanoa..nawactia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom