Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Poleee!
No my Dear basi tu niliona nitoe dukuduku langu jana but now Im ok. Thanx eeehhh
Mi mbona umekaa moyoni mwangu na bado najisikia vizuri.............wala sina mpango wa kukutoa.Good kukaa na kitu moyoni si vizuri i hope muhusika umemwambia
Mi mbona umekaa moyoni mwangu na bado najisikia vizuri.............wala sina mpango wa kukutoa.
Kisasi kiukweli 'NO' thanx for ur advice Kaka Mkubwa
Kwahiyo we hupendi kukaa stoo?hahaha wewe moyo wako kama stoo umejaza vitu kibao
miss neddy nipo aiseMr Rocky sijamuona hapa yu wapi
miss neddy nipo aise
mapenzi matamu bana ukiyawezea na ukipata mtu wa uhakika anayejua maana yake
Haya ya amri kama za kanda maalumu sio kabisa
Kwahiyo we hupendi kukaa stoo?