Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Wenye kwenuuu kwaheri ooooohnikae stoo wakati kwingine napewa nafasi ya peke yangu
Wenye kwenuuu kwaheri ooooohnikae stoo wakati kwingine napewa nafasi ya peke yangu
miss neddy unanionea banahahaha mzee wa michepuko siku nyingine usirudie kumuudhi Dena
Kaka mkuu vipi mbona waguna nimesubiriwa kwa dakika kidogo nikaachwa na unajua huku Mabwe Pande issue kuingia mwenyewe na starlet usiku 'Kaniudhi haatari'
miss neddy unanionea bana
Sina amri kama za watu wa kanda maalum wala kama kamanda wa operation
Mimi nikiwa kwenye hizo anga nakuwa more than Romeo najua kubembeleza najua kumweka kwenye mazingira mhusika najua namna ya kumjali na kujali hisia zake
Sio kila muda amri tuu kama tuko kwenye operation vunja maandamano bana
cc Tized, utafiti na BAK
Baadhi ni majanga......yaani hawana huruma muda wote wanaona mwanamke mkosaji,kipelekeshwa yaani arghrrrrr
Pole sana aise..kuna kesi moja nliipata oficini nkamwambia mshkaji..ivi ulishawahi kujiuliza kama nisingemuoa huyu mtu angekuwa na nani..!? Kwa sababu wakati mwingine tunaweza kuwa chanzo cha kusababisha mtu kuishi maisha ya tabu duniani, na wakati tungemwacha si ajabu angepata mtu ambae angemuheshimu zaidi..
Hajatumia busara
Kwa hiyo anatarajia anarudije home?
Ukilala hoteli (kama yupo jf atakuja na uzi mke wangu kalala hoteli::::kama mumeo yupo jf lakini)
Ukitafuta mtu akusindikize ndio nafsi yake itakuwa shwaaaaari eeeh???
Busara
Busara
Busara
miss neddy unanionea bana
Sina amri kama za watu wa kanda maalum wala kama kamanda wa operation
Mimi nikiwa kwenye hizo anga nakuwa more than Romeo najua kubembeleza najua kumweka kwenye mazingira mhusika najua namna ya kumjali na kujali hisia zake
Sio kila muda amri tuu kama tuko kwenye operation vunja maandamano bana
cc Tized, utafiti na BAK
Sema hakyamungu.....
Haha haa
Think you are insane madam.U didn't understand my point at all.... Sina shida hiyo ya kuonewa huruma for ur info nachosema mimi why yeye aseme nisubiri naja utakaa mpaka four hours inasubiri but wewe 20minutes ni issue tena haisomeki soma thread na sio kukurupuka right??