mrskhoory
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 220
- 112
Na wanaume wengine Duu wakali, nilienda nyumba flani kununua kitu sasa wakati mwenye nyumba kaenda kutupa mfuko cm ya mpenzi wake ikaita kupokea huyo alokua anaongea Sijui kamsemesha kitu gani kibaya alipo rudi Yule mdada jamaa alianza kufokaa yani nikijisikia vibaya,yani nimejiulizaa hivi ni sifa au hashuo?