Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
aaaiiiii... limi zito eeeeh??? teh teh
mate mengi mdomoni...lol!
aaaiiiii... limi zito eeeeh??? teh teh
mate mengi mdomoni...lol!
yaani ulijuaje mapenzi kama njaa,aisee inaonyesha unapenda sana,bt ni kweli kama cku ikipita bila kumuona au kuongea nae japo ata kwenye cm unakuwa kama unataka kushiba,nimekukubali m2 wangu
aaaiiiii una mshawasha kiasi hichooo??? Khaaaa!!!!
aaaiiiii una mshawasha kiasi hichooo??? Khaaaa!!!!
umejuaje????? ulimi umejaa mdomoni
Inshaallah kheri.
Remember hakuna bin/t Adam aliyemkamilifu. Tuvumiliane, tupendane, tutunzane, tuenziane, tuthaminiane kwa hali na mali, kwa shida na raha, dhiki na faraja, magonjwa na uzima, ka ukali na upole, ukarimu na uchoyo, uzazi na ugumba, uerevu na ujinga, (na hata umalaya?).
...tafakari
....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!
...tafakari
....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!
...tafakari
....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!
Huyu anapendwa ila ukame tu na baa la njaa ndio linamsumbua, usikute wazazi wamejitahidi lakini imeshindikanaDuh! Picha hii inasikitisha sana. Unaweza kuangusha mchozi. Wapendeni wanenu jamani tena kwa mapenzi ya hali ya juu!
Mtoto alivyo na hamu ya chakula wakati ambao hakipo, plus upweke alionanao with the loss of hope to survive vinawiana na statement ya mwanzisha mada....tafakari
....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!