Mapenzi kabla ya ndoa

Mapenzi kabla ya ndoa

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
700
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi, ukimwambia no yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika.

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi?

Ni ushamba?
Mkiwa katika mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya.
 
mwanamke wa leo sio wa kuoa bila mimba imefika miezi tisa mirija mingi ya uzazi imeziba
 
pregnant-bride-portrait-african-woman-bridal-flowers-30785050.jpg
 
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi...Ukimwambia No yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika..

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi? Ni ushamba?
Mkiwa ktk mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya !!!

Aisee watu hawaelewi tena. Ukimwambia mtu msubiri basi atakutafutia sababu za kuachana etc. Wakaka hawataki na wanawake pia hawataki. Vurugu mechi!
 
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi...Ukimwambia No yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika..

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi? Ni ushamba?
Mkiwa ktk mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya !!!

Wewe unafanya hivyo??
 
Si kwa wanaume tu ambao wanataka mapenzi kabla ya ndoa bali pia kwa wanawake. Wanawake nao wanataka wajiridhishe je huyu mwanaume ni rijali? Shake well before use.
 
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi...Ukimwambia No yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika..

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi? Ni ushamba?
Mkiwa ktk mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya !!!

Alafu mkiingia ndani mkakutana na kibamia mnarudi hapa kujiliza na kuomba ushauri...taabu kwelikwel
 
Back
Top Bottom