EBENEZA MT
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 264
- 50
Je? yanazidisha upendo na kuimarisha mahusiano au ni kinyume chake.
kutongozana kukihusishwa na kuoana ujue ni karaha tupu zimekaribishwa...............na wahusikaMkitongozana mikitegemea eventually mnataka kuoana.. Mapenzi yaweza sababisha stress katika relation ship sababu kila mfanyapo mnapimana... yaani both mdada na mkaka wako kutazamana na kuchunguzana (thou involuntary sometimes)... akifikiria kama anafaa, akiangalia kama anamfurahisha 6/6.. na ni dhahiri kila lichunguzwalo halikosi kasoro no matter how perfect... Hivo uhusiano wa namna hii Mapenzi kabla ya ndoa - matokeo ya kuoana ni 50/50....
Inategemea mlitongozana kwa ajili gani... Kama mlitongozana mkijua dhahiri kua ni kwa ajili ya tamaa zenu juu yenu (lust)... Mara nyingi mapenzi ya namna hii yako relaxed kila mmoja akiwa huru na kujiachia kua they are having fun... This type of relationship huweza kukua na kukuta kua mnakuta mko compactable to the extent ya kua wenza na kufunga pingu za maisha... Hivo in this case kuimarisha...
Mkitongozana mikitegemea eventually mnataka kuoana.. Mapenzi yaweza sababisha stress katika relation ship sababu kila mfanyapo mnapimana... yaani both mdada na mkaka wako kutazamana na kuchunguzana (thou involuntary sometimes)... akifikiria kama anafaa, akiangalia kama anamfurahisha 6/6.. na ni dhahiri kila lichunguzwalo halikosi kasoro no matter how perfect... Hivo uhusiano wa namna hii Mapenzi kabla ya ndoa - matokeo ya kuoana ni 50/50....
Asha, nina uhakika suala la imani kwa Mwenyezi mungu hukulipa nafasi hapa......
Asha, nina uhakika suala la imani kwa Mwenyezi mungu hukulipa nafasi hapa......
Imani ni suala binafsi ila ni gumu sana. Kwa uzoefu wangu watu huwa hawafuatilii mambo ya imani. Wanachojali ni feelings na tamaa zao za ngono.
Binafsi sioni tatizo kama wako above 18 yrs.
Je? yanazidisha upendo na kuimarisha mahusiano au ni kinyume chake.
<br />Hakuna formula. Kuna waliokutana wote 'mabikra' na ndoa zao hazikudumu lakini pia kuna waliokutana wote wameshafanya kila uzinzi kabla ya ndoa lakini ndoa zao zinadumu!
Asha, nina uhakika suala la imani kwa Mwenyezi mungu hukulipa nafasi hapa......
Kinyume chake! yhe more experience you have about sex before marriage the more you endanger your marriageJe? yanazidisha upendo na kuimarisha mahusiano au ni kinyume chake.